Unawezaje kuamrisha watendaji wa kivuko cha MV Nyerere wachukuliwe hatua kali wakati walitoa tahadhari kuwa kivuko hicho kibovu hawakusikilizwa?

Habari kubwa inayotrend ndani ya nchi yetu hivi sasa na nje ya nchi ni kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kikifanya safari zake huko Ukerewe katika ziwa Victoria na kusababisha vifo vya watanzania wasio na hatia zaidi ya 130

Tumemsikia Rais wetu Magufuli kama kawaida yake akiagiza kwa ukali kabisa, hatua Kali zichukuliwe kwa wote waliohusika na uzembe huo hadi kusababisha maafa hayo makubwa kwa nchi yetu

Lakini pia kuna clip moja inayotrend humu mtandaoni kwa hivi sasa ikimuonyesha Mbunge wa Ukerewe kwa tiketi ya Chadema, Joseph Makundi, akilalamika wakati huo Bungeni kuwa kivuko cha MV Nyerere ni kibovu na akaendelea kueleza kuwa aliwasiliana na Waziri wa uchukuzi kwa kipindi kirefu kumweleza tatizo hilo lakini hajasikilizwa, akaendelea kueleza kuwa au ndiyo inasubiriwa kizame kivuko hicho ndiyo waje hapo Bungeni kuchangishana pesa ya rambirambi? Mwisho wa kunukuu

Na kweli hivi sasa utabiri huo umetimia kwa kivuko hicho kuzama na kama alivyoeleza Mheshimiwa Mbunge huyo kuwa sasa ndiyo tuko "busy" kuchangishana pesa ya rambirambi!

Hebu tujiulize kama Taifa ni kweli tunatoa kipaumbele katika vitu vya muhimu kwa Taifa letu?

Au ndiyo tunatoa kipaumbele katika vitu anavyohitaji Mheshimiwa "Mfalme" vipewe kipaumbele?

Hapo ndipo tulipofika kama Taifa, wapo watu watakuwa "victimized" katika tukio hili wakati UKWELI unajulikana kuwa kama Taifa tumeachana na kutoa kipaumbele katika vitu ambavyo kama Taifa tunapaswa kuvipa kipaumbele

RIP wote waliokumbwa na mkasa wa kuzama kwa MV Nyerere huko ziwa Victoria
Kilishatengenezwa acheni unafiki na kupotosha watu.
 
Magari ya washa washa yanakuwa yanafanya nini?. Na mapolisi wanakuwa wapi ama wao wapo kuzuia maandamano ya Mange Kimambi?.
Mwambie ukweli huyo kada

Hivi waokoaji walikuwa wapi siku ya tukio hadi kufikia waliokutwa na umauti wafikie zaidi ya 140??

Kupoteza maisha ya raia wasio na hatia inaumiza sana
 
  • Thanks
Reactions: J C
Habari kubwa inayotrend ndani ya nchi yetu hivi sasa na nje ya nchi ni kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kikifanya safari zake huko Ukerewe katika ziwa Victoria na kusababisha vifo vya watanzania wasio na hatia zaidi ya 130

Tumemsikia Rais wetu Magufuli kama kawaida yake akiagiza kwa ukali kabisa, hatua Kali zichukuliwe kwa wote waliohusika na uzembe huo hadi kusababisha maafa hayo makubwa kwa nchi yetu

Lakini pia kuna clip moja inayotrend humu mtandaoni kwa hivi sasa ikimuonyesha Mbunge wa Ukerewe kwa tiketi ya Chadema, Joseph Makundi, akilalamika wakati huo Bungeni kuwa kivuko cha MV Nyerere ni kibovu na akaendelea kueleza kuwa aliwasiliana na Waziri wa uchukuzi kwa kipindi kirefu kumweleza tatizo hilo lakini hajasikilizwa, akaendelea kueleza kuwa au ndiyo inasubiriwa kizame kivuko hicho ndiyo waje hapo Bungeni kuchangishana pesa ya rambirambi? Mwisho wa kunukuu

Na kweli hivi sasa utabiri huo umetimia kwa kivuko hicho kuzama na kama alivyoeleza Mheshimiwa Mbunge huyo kuwa sasa ndiyo tuko "busy" kuchangishana pesa ya rambirambi!

Hebu tujiulize kama Taifa ni kweli tunatoa kipaumbele katika vitu vya muhimu kwa Taifa letu?

Au ndiyo tunatoa kipaumbele katika vitu anavyohitaji Mheshimiwa "Mfalme" vipewe kipaumbele?

Hapo ndipo tulipofika kama Taifa, wapo watu watakuwa "victimized" katika tukio hili wakati UKWELI unajulikana kuwa kama Taifa tumeachana na kutoa kipaumbele katika vitu ambavyo kama Taifa tunapaswa kuvipa kipaumbele

RIP wote waliokumbwa na mkasa wa kuzama kwa MV Nyerere huko ziwa Victoria
Hapo waziri wa Uchukuzi alipaswa ajiuzulu
 
Mwambie ukweli huyo kada

Hivi waokoaji walikuwa wapi siku ya tukio hadi kufikia waliokutwa na umauti wafikie zaidi ya 140??

Kupoteza maisha ya raia wasio na hatia inaumiza sana
Hawa watu wanaudhi sana. Unajua mishipa imewakakamaa kupambana na upinzani badala ya kushirikiana nao katika ujenzi wa Taifa. Unajua ccm wakati huu wangekaa na upinzani kujenga dira ya taifa kisha kama wanaona mapungufu ndani yao kuwafundisha ili watakaposhika nchi Sote tufaidike menyewe yameng'ang'ania kutaka kurithishana uongozi kizazi mpaka kizazi kinachotokea ndicho hiki sasa. Kwa mfumo huu hawatofanikiwa mwishowe wataanza kuuwana wao kwa wao.
 
Habari kubwa inayotrend ndani ya nchi yetu hivi sasa na nje ya nchi ni kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kikifanya safari zake huko Ukerewe katika ziwa Victoria na kusababisha vifo vya watanzania wasio na hatia zaidi ya 130

Tumemsikia Rais wetu Magufuli kama kawaida yake akiagiza kwa ukali kabisa, hatua Kali zichukuliwe kwa wote waliohusika na uzembe huo hadi kusababisha maafa hayo makubwa kwa nchi yetu

Lakini pia kuna clip moja inayotrend humu mtandaoni kwa hivi sasa ikimuonyesha Mbunge wa Ukerewe kwa tiketi ya Chadema, Joseph Makundi, akilalamika wakati huo Bungeni kuwa kivuko cha MV Nyerere ni kibovu na akaendelea kueleza kuwa aliwasiliana na Waziri wa uchukuzi kwa kipindi kirefu kumweleza tatizo hilo lakini hajasikilizwa, akaendelea kueleza kuwa au ndiyo inasubiriwa kizame kivuko hicho ndiyo waje hapo Bungeni kuchangishana pesa ya rambirambi? Mwisho wa kunukuu

Na kweli hivi sasa utabiri huo umetimia kwa kivuko hicho kuzama na kama alivyoeleza Mheshimiwa Mbunge huyo kuwa sasa ndiyo tuko "busy" kuchangishana pesa ya rambirambi!

Hebu tujiulize kama Taifa ni kweli tunatoa kipaumbele katika vitu vya muhimu kwa Taifa letu?

Au ndiyo tunatoa kipaumbele katika vitu anavyohitaji Mheshimiwa "Mfalme" vipewe kipaumbele?

Hapo ndipo tulipofika kama Taifa, wapo watu watakuwa "victimized" katika tukio hili wakati UKWELI unajulikana kuwa kama Taifa tumeachana na kutoa kipaumbele katika vitu ambavyo kama Taifa tunapaswa kuvipa kipaumbele

RIP wote waliokumbwa na mkasa wa kuzama kwa MV Nyerere huko ziwa Victoria
Uzi wa kijinga uliotanguliza hisia zaidi ya ukweli.
Wewe hujui luwa kivuko kilizama sababu ya kuzidisha uzito? Hujawasikia waliopona ktk maelezo yao?
 
Jamani ama kweli waliosema no research no right to speak "ndo kinachokea kwa mkuu katika uzi huu yani kichwa kichwa kaingia bila kupata muda wa kufanya ata uchunguzi mfupi tu .
enyi wagalatia nani aliyewaroga
 
bora na wewe umemgundua, na uongo kma huu, overloading iliyofanyika haoni ttzo yeye anaona kikiwa kipya hata uki overload hakizami, kweli hizi akili za kuhemka hazifai, tutafute muda wa siasa lkn kwa sasa tuomboleze kwanza.

Huyo jamaa ni ndugu wa mmoja wa wafanyakazi au mhusika katika meli iliyozama na sasa anataka kukwepa uwajinikaji kwani nauli ya abiria 101 ziliingia kwenye akaunti ya serikali ila nauli za wale wa ziada kama 300 hivi ziliingia kwenye mifuko ya wafanyakazi!!!!yaani wanachukuaga nyingi kuliko serikali sasa ni bahati mbaya mali kupinduka - tunasikitika wa Tz karibu 300 kupoteza maisha kwa sababu ya matumbo ya waajiriwa wasio waaminifu!
 
Hiyo “kike kike” inamaanisha wanawake ni duni, au wanaume ni superior?
G4rPolitics, nani amekwambia watendaji wa serikali waweza kutoka chama chochote cha siasa ?, si tumemsikia Jiwe akisisitiza kwamba watendaji wote wa serikali ni lazima wajionesha hadharani wanatumikia ccm
 
wewe unafikri polis wote ni ccm, walimu wte wslioajiliwa na serikali ni ccm, madaktar wte ni ccm,, waweka hazina wte ni ccm, kila mtu ana itikadi yake kisiasa, think tank dude...hivyo wewe unajuaje wakata tiketi hao ni wafuasi wake na huyo mbunge wa chadema? usifikir kichama chama kwa mambo ya pmja ya kitaifa kma haya.
 
Nitajie Polisi hata mmoja ambae sio ccm
 
Nitajie Polisi hata mmoja ambae sio ccm
tumia akili yako, hata mdg wangu wa kuzaliwa yuko polisi lkn si ccm, walimu wangpi ni waajiriwa lkn si ccm, hivi wewe unaishi nje ya nchi? acha kuishi kimihemiko, kila mtu huwa ana itikadi yake ya kisiasa..
 
Habari kubwa inayotrend ndani ya nchi yetu hivi sasa na nje ya nchi ni kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kikifanya safari zake huko Ukerewe katika ziwa Victoria na kusababisha vifo vya watanzania wasio na hatia zaidi ya 130

Tumemsikia Rais wetu Magufuli kama kawaida yake akiagiza kwa ukali kabisa, hatua Kali zichukuliwe kwa wote waliohusika na uzembe huo hadi kusababisha maafa hayo makubwa kwa nchi yetu

Lakini pia kuna clip moja inayotrend humu mtandaoni kwa hivi sasa ikimuonyesha Mbunge wa Ukerewe kwa tiketi ya Chadema, Joseph Makundi, akilalamika wakati huo Bungeni kuwa kivuko cha MV Nyerere ni kibovu na akaendelea kueleza kuwa aliwasiliana na Waziri wa uchukuzi kwa kipindi kirefu kumweleza tatizo hilo lakini hajasikilizwa, akaendelea kueleza kuwa au ndiyo inasubiriwa kizame kivuko hicho ndiyo waje hapo Bungeni kuchangishana pesa ya rambirambi? Mwisho wa kunukuu

Na kweli hivi sasa utabiri huo umetimia kwa kivuko hicho kuzama na kama alivyoeleza Mheshimiwa Mbunge huyo kuwa sasa ndiyo tuko "busy" kuchangishana pesa ya rambirambi!

Hebu tujiulize kama Taifa ni kweli tunatoa kipaumbele katika vitu vya muhimu kwa Taifa letu?

Au ndiyo tunatoa kipaumbele katika vitu anavyohitaji Mheshimiwa "Mfalme" vipewe kipaumbele?

Hapo ndipo tulipofika kama Taifa, wapo watu watakuwa "victimized" katika tukio hili wakati UKWELI unajulikana kuwa kama Taifa tumeachana na kutoa kipaumbele katika vitu ambavyo kama Taifa tunapaswa kuvipa kipaumbele

RIP wote waliokumbwa na mkasa wa kuzama kwa MV Nyerere huko ziwa Victoria
Kipaumbele chetu kwa sasa ni kuiangamiza Chadema mengine yasubiri hadi kazi hii muhimu ikamilike.View attachment VID-20180922-WA0022.mp4
 
hiyo clip, unasema iliongelea ubovu wa kivuko hicho na kilifanyiwa ukarabati na kufungiwa injini miezi michache iliyopita, hilo lilipats ufumbuzi, kilichotokea hpa ni uzembe wa kujaza watu kupindukia na kuzidi uwezo wake wa kubeba hivyo hata kingekuwa kipya kilicholetwa siku hiyo hiyo kwa style hii kingezama tu, hebu tuweke mihemiko ya kisiada pembeni, kma huu ni uzembe kwa nini hatua zisichukuliwe kwa walio husika na uzembe huu?
Tanzania ya kungojea matuko ili watu waseme ya akilini mwao tatizo uzito lakini upayukaji wa matukio kila mtu na lake
 
Baada ya uyo mbunge kulizungumzia ilo tatizo, serikali sikivu ya JPM ilinunua injini mpya na ilifungwa kwenye icho kivuko. Baadhi ya mashuhuda wamesema kivuko kilikua na mzigo kupita uwezo wake ukichukulia ilikua siku ya gulio/mnada. Kwaiyo ni uzembe wa wanao kisimamia kivuko. Ata kama meli/ boti/ kivuko kikiwa kipya mkizidisha mizigo kuliko uwezowake ilo linaweza tokea. Mv Bukoba ilikua hivyo, Mv Spice ilikua ivyo. Vivuko/ Meli vinabeba watu wengi kila mtu anataka kuwai aendapo.
Hiyo ni habari ya 2004 tahadhari imetolewa majuzi tu
 
Habari kubwa inayotrend ndani ya nchi yetu hivi sasa na nje ya nchi ni kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kikifanya safari zake huko Ukerewe katika ziwa Victoria na kusababisha vifo vya watanzania wasio na hatia zaidi ya 130

Tumemsikia Rais wetu Magufuli kama kawaida yake akiagiza kwa ukali kabisa, hatua Kali zichukuliwe kwa wote waliohusika na uzembe huo hadi kusababisha maafa hayo makubwa kwa nchi yetu

Lakini pia kuna clip moja inayotrend humu mtandaoni kwa hivi sasa ikimuonyesha Mbunge wa Ukerewe kwa tiketi ya Chadema, Joseph Makundi, akilalamika wakati huo Bungeni kuwa kivuko cha MV Nyerere ni kibovu na akaendelea kueleza kuwa aliwasiliana na Waziri wa uchukuzi kwa kipindi kirefu kumweleza tatizo hilo lakini hajasikilizwa, akaendelea kueleza kuwa au ndiyo inasubiriwa kizame kivuko hicho ndiyo waje hapo Bungeni kuchangishana pesa ya rambirambi? Mwisho wa kunukuu

Na kweli hivi sasa utabiri huo umetimia kwa kivuko hicho kuzama na kama alivyoeleza Mheshimiwa Mbunge huyo kuwa sasa ndiyo tuko "busy" kuchangishana pesa ya rambirambi!

Hebu tujiulize kama Taifa ni kweli tunatoa kipaumbele katika vitu vya muhimu kwa Taifa letu?

Au ndiyo tunatoa kipaumbele katika vitu anavyohitaji Mheshimiwa "Mfalme" vipewe kipaumbele?

Hapo ndipo tulipofika kama Taifa, wapo watu watakuwa "victimized" katika tukio hili wakati UKWELI unajulikana kuwa kama Taifa tumeachana na kutoa kipaumbele katika vitu ambavyo kama Taifa tunapaswa kuvipa kipaumbele

RIP wote waliokumbwa na mkasa wa kuzama kwa MV Nyerere huko ziwa Victoria
Wakuu, nani mmiliki wa MV Nyerere?
 
Wewe MPUMBAVU. WATU WAMEKUFA. UNALETA CHUKI ZAKO NA HABARI ZA UONGO. KWELI LEO NIMEAMINI HUMU WATU MNATUMWA. SAS WE SHETANI KIVUKO KILITENGENRZWA SEMA JIPYA SASA. UKIJA KAMATWA UTASEMA UMEONEWA. UNA DALILI YA KUTOKUWA MWAMINIFU KWA LOLOTE LILE. WALIO KARIBU NAWE WAJICHUNGE SANA. RAIS KAENDA KUSAINI UTENGENEZAJI WA MELI KULE MKASEMA ANAPENDELEA LEO HAUMIII. WHY ARE SO INCONSISTENT IN YOUR OWN LIES...and you call yourself among great thinkers. I really pity you fake woman or man.
Mkuu Unprejudiced, mbona Povu jingi linakutoka??

Hivi hujaona namna serikali hii ya CCM inavyotoa kipaumbele kwa vitu "petty" na vile "serious" wanavipuuzia??
 
Back
Top Bottom