Oooh .....baby basi dance nikuone ' Ngwangwaru....deka nikudekeze nikutunze kama mboni......
Teh una ugomvi na wasukuma mkuu?Mkuu,kuna wanawake wamekondeana yaani wanamifupa mitupu...wanawake wa namna hiyo ukimpakata mifupa itakuchoma utafikiri umeshika fance ya miiba (barbed wire)
Pia,kuna wanaume wenzetu huwa wanafanya kazi ngumu sana kama vile kulima,kubeba mizigo mizito kama vile wasukuma...msukuma akimpapasa mwanamke huyo mwanamke anaweza hisi anapapaswa na nondo au tofali la block na atachubuka ngozi mwili mzima!
😀Mkuu,kuna wanawake wamekondeana yaani wanamifupa mitupu...wanawake wa namna hiyo ukimpakata mifupa itakuchoma utafikiri umeshika fance ya miiba (barbed wire)
Pia,kuna wanaume wenzetu huwa wanafanya kazi ngumu sana kama vile kulima,kubeba mizigo mizito kama vile wasukuma...msukuma akimpapasa mwanamke huyo mwanamke anaweza hisi anapapaswa na nondo au tofali la block na atachubuka ngozi mwili mzima!
Ishakuwa njema jamaa. Nipo hapa nimempakata mpenzi wangu naandika comment kwa bashashaNamna hii weekend lazima iwe njema jamaaa
Hivi viwanda huwa havikomi kuzalisha mkuu. Tokea enzi na enziTanzania nchi pekee viwanda vifanya kazi usiku..
I lyk t...Jibebeeee
Piga gym mkuu. Kumpakata muhimuDuh na hili tumbo langu, nitampakataje? Labda ninyooshe miguu anikalie.
HahahahaaSasa demu wako ndio Miss Natafuta unaanzaje kumpakata kama sio kutafuta kilema![]()
hahaaa My ribs ...Kiwanda tutajenga kweli inji hii
Na tunamiliki viwanda vingi sanaNimegundua kitu, hakuna watu wanaofanya tafiti kama sisi wanaume... Yani muda wote tupo field..

️Am so mad at myself to be done reading and now commenting on this post at this hour of the day!




