Recent content by mhakikimali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wa klabu ya Simba hawafai

    Haiingii akilini kuona viongozi Wa klabu kama simba kufanya udanganyifu Wa mikataba Na kushindwa kuitekeleza kisha kukimbilia kuzilaumu mamlaka kuwa zinawahujumu. Wakati dunia nzima vilabu vinatafuta wachezaji wenye umri mdogo viongozi Wa klabu ya simba inampoteza mchezaji Ramadhani singano kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ramadhani Singano amwaga wino Azam FC

    Hawasikitiki wanawachezaji zaidi ya mesi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Fisadi Benjamin Mkapa yuko na fisadi Edward Lowassa

    Mtikila wewe jembe tu wabuluze mahakamani hao walioanza kampeni mapema
  4. M

    JamiiForums Tanzania Azam sijawaelewa

    Kwanini
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

    Kwanza wamemchelewesha yeye Na wale wenye Viti 15 wanaomsindikizaFisadi wao
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

    Chonde chonde wanaccm mmemsikia Mzee kingunge akimpigania FISADI wake eti ni lazima apitishwe yeye lowassa in nani?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vyama vyaupinzani fungueni kesi dhidi kuruhusu CCM kuanzakampeni kabla yatumekutangaza

    Ni imani yangu Vyama vya Upinzani vitaungana pamoja kukishtaki chama cha mapinduzi CCM kuruhusu makada wake kuanza kampeni mapema kabla ya muda ikiwa ni uvunjaji Wa sheria ya uchaguzi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Hakuna kitu nilichofanya bila Kikwete Kujua

    Kwa hiyo iweje? Unatuambia sisi ili tufanyeje? Kwanza tuambie ulifanya nini ambacho hata kikwete anajua?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

    Anakerwa nini yeye kama nani ni mwanachama tu asitubabaishe ameamua kuukumbatia ufisadi Na wizi hatutaki atuchafulie çhama kama anaona ccm INA kasoro watoke sio lazima wabaki ccm
  10. M

    JamiiForums Tanzania Siri nzito zilizovuja kutoka Team Lowasa hizi hapa

    Na hako kazee KINGUNGWE anaweweseka nini ? Kwanza anamtetea nani? Yeye kama anaona hatendewi haki ahame na mafisadi wake
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kiinua mgongo cha Wabunge chashushwa toka Milioni 238 kuwa Milioni 130!

    Hawana ubavu Wa kuwanyima posho iko kisheria wataitolea mahakamani
  12. M

    JamiiForums Tanzania John Shibuda aiandikia barua Kamati Kuu CHADEMA kuomba kukoma Uanachama

    Hongera shibuda kati ya mayuda wewe ni namba 1 NENDA hukuwa Na mchango wowote CHADEMA
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waganga wajaa Dodoma

    Fisadi huyo ajiandae kuna kesi inafunguliwa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Mchungaji Mtikila kwa Edward Lowassa

    HEKO MTIKILA tuko pamoja tunawaomba viongozi wrote Wa upinzani mshirikiane Na mtikila kuishikisha ADABU ccm Na has a LOWASSA
  15. M

    JamiiForums Tanzania Augustino Ramadhani: Chaguo la system

    Hakuna Mh. Ramadhani anafaa
Back
Top Bottom