Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,530
- 32,736
Jaji anaandaliwa kugombea urais zanzibar au kuwa makamu wa rais wa Tanzania hamna kingine.
Huyu ni Mtu Kutoka Nchi Jilani au Marafiki Zetu Wazanzibar Kwa Maana Zanzibar ni Nchi. CCM wakimleta Huyo Waandike Maumivu Kwa Maana Huyu ni Mzanzibar na Zanzibar ni Nchi Kama ilivyo Burudi au Rwanda.
Rais wa Tanganyika Hapigiwi Mizinga Zanzibar Kama Tulivyoona kwenye Sherehe za Uhuru wa Zanzibar. Hapana Ndani ya CCM leteni Mtaganyika na UKAWA Wataleata Mtanganya.
Huyu alivyokuwa Jaji Mkuu, RUSHWA ILITAMALAKI SANA KTK MAHAKAMA ZOTE...!!!
Rushwa ndio ilikuwa kama haki ktk mahakama karibu zote wakati huyu alikuwa Jaji Mkuu.... hafai...!!! na hatuchaguliwi viongozi... tunajua tunamtaka nani... huyu kaletwa tu kama kondoo fulani hivi...!!!
Lowassa ndio kila kitu...full stop...!!!
kweli je watu vijijini wanamfaamu ambako ndo wapinga kura waliko,mimi nawashauri wafanye kama kwa kikwete,
1,magufuli-rais
2,ramadhani-makamu
hii timu itashinda kwa kishindo na inakubalika na itasaidia wabunge wa ccm,ia tutapata baraza la mawazri bora.
rais wa tanzania mzanzibar
rais wa zanzibar mzanzibar
kweli!! ebu lione hili ccm
I asked the same question.Hivi System ni nini?
CCM haiwezi kuanguka kwa sababu tu ya hizi tabiri za akina Marehemu YAHAYA.SISIEM itaanguka mwaka huu
Huyu mleta mada anaota.Ktk dini hilo lipo. History imeandika hivyo. But hili la zamu litakuwa halina mantiki kipindi. Muhimu tuangalie population na umuhimu wa Tanganyika ktk Muungano wa CCM.
hiyo millioni 5 imetoka wapi? Au una makengeza?milion 5 kuongoza milion 43,sijui
Hakuna Mh. Ramadhani anafaa
Ndio maana nikakuambia ''hao watanganyika wako'' walishakubaliana na mtu wa Zanzibar kuwagaragaza na kuteuliwa yeye.
Tetty
Kikwete hawezi kuweka mtu atakayetishia maslahi yake na ya CCM. Halafu kuna kitu kingine labda watu wengine hawajui. Jaji Ramadhani ni chanda na pete na Mkapa. Ni marafiki kweli kweli. Lakini mimi bila kuangalia KAMA ataweza au hapana nimefurahishwa na kitu kimoja ambacho Kikwete anakaribia kukifanya: Tanzania fomula ilishakuwa UKITAKA URAIS (hata kama huna sifa).. basi 1. Andaa fedha nyingi 2. tengeneza mtandao kwa kununua watu kadiri uwezavyo 3. Tengeneza mazingira ya kuonyesha unakubalika kwa kununua wapambe, media, kura za maoni, vyama na vikundi mbalimbali huku ''ukiwachafua'' wapinzani wako kwa kila namna na mwisho nunua wajumbe karibu wote wa NEC na mkutano mkuu. Sasa hapa Kikwete anakwenda kuonyesha kuwa hii fomula ni fake na japokuwa yeye aliweza kuitumia lakini ilikuwa bahati tu hivyo WATU WENGINE WASIJARIBU! Ahaa... shikamoo mheshimiwa Kikwete! Mwaka huu ni wachumia tumbo wengi wamewekeza kwenye DECI ya kisiasa! Ni kuvuna mabua kwa kwenda mbele!
Naona dhambi aliyosema marehemu JKN,imeanza,kesho utasikia achana na wachaga,achana na wanyakyusa, achana na wapemba,achana na wahaya,achana na wakurya... eeh rais anatakiwa awe atakae tufanikishia MAHITAJI yetu WATANZANIA,na si kwamba katoka wapi.HITIMISHO nchi si ya kidini! nyie mnaoleta mgawanyiko wa kidini,mungu awalambe na moto!