Recent content by Mgwisha

  1. M

    Historia ya Sarafu Yetu Tanzania

    Mi naziona tena vizuri kabisa na nyingi kwa bahati za kuanzia 1966 nimeztumia nikiwa mdogo miaka ya sabini mwishoni na kuendelea
  2. M

    Lijue Briefcase liitwalo The football la U.S.A

    😂😂😂😂😂😂😂
  3. M

    Fastjet wazuiwa kuingiza ndege mpya. Wanyimwa vibali, watakiwa kuondoka

    Katika maelezo ya kuzuiliwa hayajaonyesha kama kumekua na mabishano juu ya suala la ndege za Fastjet ikiwa ni pamoja na kuzuiliwa ndege husika,kama hali ipo kwa namna hiyo bado itaonyesha. Kwamba sasa juhudi za wawekezaji wazawa zinapindishwa badala ya kupewa elimu ya kutosha ili kwa pamoja...
  4. M

    Fastjet wazuiwa kuingiza ndege mpya. Wanyimwa vibali, watakiwa kuondoka

    Si siti kusema ya kua nimesoma na kuielewa falsafa ya ATCL,kwa hali hii tumefika pasipo eleweka tunataka kila kitu serikali ihodhi mzawa ukifanya unageuzwa kuwa mpinzani wa juhudi zako binafsi ni lini tujitazame kuwa tunajiangamiza wenyewe. Hongera ujamaaa
  5. M

    BASATA yawafungia Diamond Platnumz na Rayvanny kufanya onesho lolote. Tamasha la Wasafi lafutiwa kibali. 'Nyegezi' yawaponza

    Malengo ya WCB Festival yamekuwa na msaada sana kuliko hata huo wimbo,na mashabiki ndo wamekua wakilazimisha kuimba kwa hapo juhudi zaidi zitumike kuufuta vichwani mwa mashabiki wa WCB.
  6. M

    Ni marufuku kuimba wimbo wa Taifa bila kibali maalumu cha Wizara ya Mambo ya Ndani

    Rangi yetu njano inasimama kuonyesha uwepo wa madini yote tuliyo nayo nchini ,kwahiyo na madini mengine yatatafutiwa rangi zake itapelekea rangi zote kubadilika kutokana na mali ya nchi yetu
  7. M

    Baada ya EU, Serikali ya Marekani nayo yaugeukia utawala wa Rais Magufuli

    Tutafika tunapo pahitaji,kwa kumheshim mchina akichoka naye atakua kinyonga
  8. M

    Hizi massage za michezo ya kubahatisha imekuwa kero TCRA mmelala

    Matangazo haya yanakera sana na hayaangalii hata muda unashituka usiku ukifungua sms kumbe niya kubeti ujinga huu.
  9. M

    Kombe la Mataifa ya Africa (AFCON) kutofanyikia tena Cameroon kufuatia tishio la ugaidi

    Labda tuambiwe sifa za kuhost michuano hiyo ni zipi suala la viwanja hapa kwetu sioni kama ni shida sana tusaidieni sifa nyingine tuzijue.
  10. M

    Kombe la Mataifa ya Africa (AFCON) kutofanyikia tena Cameroon kufuatia tishio la ugaidi

    Hii bila ubishi TFF watupe karata kigezo ni usalama na amani nasi ndo chimbuko la hiyo bidhaa hebu jaribuni watanzania tfarijike watutoe kwa vigezo vya viwango.
  11. M

    Kiwanda chafungwa kwa kusindika nyama ya Punda

    kweli nchi hii ya ccm NA usalama wao ndo huo wa kutulisha ss punda
  12. M

    Lowassa inawezekana huna Parkinson's disease - PD

    Imani iliyojengwa kwa misingi ya Fedha ni hatari mtauza watanzania wote au mlionunuliwa ndo mtabaki?
  13. M

    Wakati makada wa CCM waliotangaza nia wakiiteka nchi, Edward Lowassa aongoza kwa kuanguka

    Hiyo yote ni team ya usafi hata kama una ukurutu upi utatakata tu.
Back
Top Bottom