Ado Shaibu amshtaki Rais Magufuli Mahakama Kuu kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Mkuu acha uchochezii,kua mzarendo na utembee kifua mbereee uko kwenye raiti traki
Ukitaka kujua akili ya mtu angalia elimu aliyoprofessionalize ..
Mwingine unakuta ni;
mwanasheria
mchumi
daktari
injinia
mwanasarufi
mwanafasihi
mwanasaikolojia..
.
huyu yeye ni MKEMIA WA UTOMVU WA GANDA LA KOROSHO !
kkkk !
sijui aligundua nini kwenye huo utomvu ili nchi inufaike maana thesis mlimani hazionekani ?!
 
Back
Top Bottom