Mimi simuelewi!!! Anyway anapambana nayo katika mkoa wake tu? Vita hivi ni vya kimataifa, sio ya kimkoa wala nchi, inabidi ajipange upya....
Alitakiwa akae chini na waziri home affairs, tamisemi, foreign affairs, waitwe, IGP, DCI, AG na DPP wake wapange mbinu na mikakati. Sasa unasema huwataki...