Kumbe yale majina mh. Makonda hakuyatoa mfukoni

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
13,208
13,233
IMG-20170205-WA0007.jpg
 
Halafu unajua hii nchi hata sielewi ilivyokaa......

Niliwahi kusikia kwamba Mkuu wa kaya mstaafu alishapewa listi ya hawa jamaa na sijajua walichukuliwa hatua gani!

Kama Makonda anataka kufanya kazi vizuri, kwanini asingewasiliana na mzee ili ampatie japo majina 3 ya kuanzia kazi, na hayo majina angewapa vyombo viaminifu vya usalama vifanye kazi.

Hivi tayari umeshamtuhumu Wema, TID na wengine kwamba ni drug dealer au users je tutegemee nini iwapo hawa watu watakutwa salama yaani hawana hatia?

Nape kaongea vizuri leo.

Wote tupo pamoja katika mapambano haya tatizo ni jinsi ya kupambana hapo ndipo tunaposhindana,
 
Kwenye kesi ya dawa za kulevya ukitafuta shahidi wenye timamu hautawapata
Hapana brother. Airport wangapi wamelamatwa ? Nani kafungwa?
Halafu tujiulize Tz unga unaingia vp ? Bila ya shaka airport. Basi kitengo cha pale wote wanahusika . ..kuna kikosi cha umbwa ..wale mbwa sembe halupiti kwao hata waupake mavi na perfume...lakini wanapita...na wanakamatiwa china india na south afrika.
Makonda anataka publicity tu....
 
Back
Top Bottom