Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Usimlaumu Dogo Millad mkuu!!!Tcra imewazuia kuwa na TVSim ambayo yeye Millad alikuwa na AYO TV.. Ni mabadilko ili uoneMillard Ayo sasa anafanya extreme marketing na inakera! Anaweza akaweka matangaz yake mwishoni badala ya mwanzoni. Jeuri hii ya mafanikio ndiyo iliyofifisha mtandao wa michuzi. Pia yule dada anayesoma magazeti atolewe, anauza sura tu.
Ok. But inakera. Unajisikiaje anakuambia unagalie hotuba ya rais, unafungua link kwa MB zako halafu kitu cha kwanza kuona ni matangazo ya GSM? Kuna namna nyingi ya kuweka matangazo yake, ikiwemo kuyaweka mwishoni mwa video kusudiwa na pia kuyaweka wakati wote kwenye video kama images. Ni kama anawarubuni watazamaji wake. Arrogance ya wenye mitandao ndio imefanya Michuzi akafulia(viewership), sasa blog ya michuzi imekuwa ya kawaida kutoka zama zile inaongoza kwa traffic Tanzania nzima.Usimlaumu Dogo Millad mkuu!!!Tcra imewazuia kuwa na TVSim ambayo yeye Millad alikuwa na AYO TV.. Ni mabadilko ili uone
Video sasa kupitia Millad lazima us stream.
Wamebadilika.Kwa nini tuwaamini hawa wabunge baada ya kutetea uovu kwa miaka mingi?
Kwani ni lazima uangalie hilo tangazo? si una forward tu hiyo videoOk. But inakera. Unajisikiaje anakuambia unagalie hotuba ya rais, unafungua link kwa MB zako halafu kitu cha kwanza kuona ni matangazo ya GSM? Kuna namna nyingi ya kuweka matangazo yake, ikiwemo kuyaweka mwishoni mwa video kusudiwa na pia kuyaweka wakati wote kwenye video kama images. Ni kama anawarubuni watazamaji wake. Arrogance ya wenye mitandao ndio imefanya Michuzi akafulia(viewership), sasa blog ya michuzi imekuwa ya kawaida kutoka zama zile inaongoza kwa traffic Tanzania nzima.