Recent content by mgoshawampasa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Gari yangu spacio old model inakula litre 1kwa km 6

    Ushirombo naomba nitumie namba ya huyo fundi maana mimi pia nina Toyota Wish 1ltr per 6km kama imerogwa vile
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo inabambikizia wahitimu madeni

    Mimi nimeomba statement wamesema wanacharge value retention fee ya 6% annually na penalty. Tatizo sikumbuki kama Mkataba unakipengele cha hiyo retention fee. Mnaweza nisaidia kwa hili maana deni unakuta ni 11M lakini ukiongeza hii fee inakuwa 16M
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uganda yaridhika bomba kuishia Tanga

    Hebu tutofautishe makubaliano na joint declaration. Cha kufanya kama Tanzania ni kuonyesha how route ya Tanzania ni better zaidi ya nyingne.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta dereva mzoefu kusafiri kutoka Dar kwenda Tabora kati ya kesho kutwa na J5

    Nimeshapata tayari, Kwa wenye midomo ndiyo natafuta dereva maana mimi sio mzoefu wa safari ndefu. May be kama hujui Dar-Tabora ni zaidi ya 1000 km.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta dereva mzoefu kusafiri kutoka Dar kwenda Tabora kati ya kesho kutwa na J5

    J5 ndiyo my nataka kuondoka kwenda Tabora
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta dereva mzoefu kusafiri kutoka Dar kwenda Tabora kati ya kesho kutwa na J5

    Toyota wish, na inaenda Tabora mjini
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta dereva mzoefu kusafiri kutoka Dar kwenda Tabora kati ya kesho kutwa na J5

    Mh. Mambo gani tena haya.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta dereva mzoefu kusafiri kutoka Dar kwenda Tabora kati ya kesho kutwa na J5

    Natafuta mtu yeyote ambaye ni dereva mzur ambaye anasafiri kwenda Tabora kati ya kesho kutwa na J5. Nina gari lakini sio dereva mzur hivyo natafuta dereva anayesafiri kwenda Tabora. Mimi nagharimia mafuta na ofcoz gar ni yangu yeye atasave nauli lakin pia atakuwa dereva wetu. Kama upo npm
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Msaada kampuni nzur ya insurance
  10. M

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    I will let you know if he is the one
  11. M

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    Nashukuru kwa wote mliochangia mada hii nimechat na Onecmo na maelezo yake yanaoana na historia yote nilokuwa nayo na hivyo nashukuru nimempata mzee niliyekuwa na mtafuta nashukuruni sana. Kwahiyo japo sifungi mjadala lakini naamini msako wangu umefika tamati na mengine yatakayoendelea hayawezi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    I have ur number I will call you soon.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    Thanks, nimechukua namba yako nakupigia ili tuongee vizuri coz the details ulizotoa zinawiyana sana hope ni mwanzo mazuri.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    Nitajaribu kufuatilia mkuu thanks for everything.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    Jina Lake kamili lilikuwa nani maana kina Kasanga ni wengi.
Back
Top Bottom