Uganda yaridhika bomba kuishia Tanga

Uganda yaridhika bomba kuishia Tanga

Jamani hivi nyinyi mnawaelewa vizuri katibu mkuu wa Wizara anaposema ujio wa wajumbe wa Uganda nchini ndio utarahisishia Serikali ya Uganda kufikia mahamuzi ya kujenga mradi huo nchini!!!!

Swali ni: wanaposema Waganda kufikia mahamuzi ya nchi yepi ya kupitisha bomba, hapo wana maana nini?

Kauli za katibu mkuu na mkurugenzi mkuu wa TPDC zinachanganya kidogo hizionyeshi kama tuna uhakika wa asilimia mia kwamba mradi huu inaweza kuja kwetu?

Nimeanza kujihoji maswali magumu - hivi makubaliano ya Dk.Magufuli na M7 yalikuwa sio legally binding au yalikuwa open 4 discussion au kibaya zaidi M7 alikuwa anatufanyia usanii nini!!! - Napata wakati mgumu kuelewa hii kitu - honestly!!!
Siyo legally binding. Memorundum of Understanding MoU ni kama kusema 'nakuahidi nitaangalia hili suala'. Hata Kenya wanayo MoU na Uganda katika bomba hili hili.
Chochote chaweza kutokea. Ukitazama Uganda inaitegemea sana Kenya kuliko Tanzania, Kenya ina uwezo hata wa kutishia. Yote haya tumeyataka wenyewe. Katika miaka ya 80' 90 Uganda ilipenda sana kutumia reli ya kati, na hata wakati Fulani ikawa inapitisha bidhaa huko, lakini wizi, ulegevu, milungula nk ukawafanya warudie tena Kenya! Mi-Tanzania siyo ya karne hii. Labda baada ya miaka 20 ya Magu ndiyo watu wataanza kuamka. Halafu hao hao wanalia umaskini!
 
Habebwi wala hapakatwi mtu..huu ndio mwisho wa fitna za wakenya walizo zianzisha miaka mitatu iliyopita..
Na hiyo ramani ya Serengeti watch ni moja ya fitna zao walizozianzisha kupitia NGO. eti bomba litapita Serengeti na kuua maliasili.Nyingine hii hapa
East_Cent_Af_Sereng.jpg

hapa inaonyesha Serengeti imefika mpaka Dodoma.
Oil Pipeline Through the Serengeti? - Serengeti Watch

Na hii inaonyesha Tanga iko ndani ya Ziwa Viktoria.
CPQhJlgUcAAD1UI.jpg


Kweli hawa wazee wa fitina, lakini naona jamaa wako mbele sana kwa propaganda maana wameweza hadi kuweka kitengo chao kwenye mitandao ya kijamii
 
Mkuu unafikiri hili ni jambo la kawaida kweli? Rais wa nchi unakosa msimamo thabiti, unachezewa na baadhi ya mawaziri wake na makampuni ya mafuta, no wonder Wakenya walisha msoma ndio maana wamkalia kuooni, mtu mzima anakuwa unpredictable kama monsoon winds, unafikiri Dk.Magufuli anajisikiaje kuweka sahihi kwenye nakubaliano ambayo kumbe mwezake wala alikuwa hajayafanyia homework ya kutosha, kulikuwa na uharaka gani?

Taifa moja lipigishe fang fang nchi mbili mpaka kufikia hatua ya kutaka kufarakana, hii inaleta picha gani kimahusiano - hydrocarbons tu ndio iwe nongwa!!

Hivi Dk.Magufuli angefikia makubaliano kama haya na nchi kama Zimbabwe,Msumbiji,Zambia au South Africa unafikiri tungefikia mambo ya sinto fahamu kama haya - hapana.
Hebu tutofautishe makubaliano na joint declaration. Cha kufanya kama Tanzania ni kuonyesha how route ya Tanzania ni better zaidi ya nyingne.
 
Back
Top Bottom