Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

Status
Not open for further replies.
aaah am 18 ,mwambie osaka anipatie namba yake,ya kwqngu ni 0674329928

..
Hope to hear from you,Soon!
 
HOPE this is not a dream,AU watu wanacheza na ID,kuandika na kujijibu-kama hii habari ni kweli na jamaa akafanikiwa kum trace baba,huu uzi ndio uwe thread ya mwaka humu JF
 
Karibu sana ndugu yangu...
Mimi naitwa Onesmo Gerson Jacob Kassanga..Ni mtoto wa mr.Gerson jacob kasaanga,ambaye ni mfanyakazi katik kampuni ya magari iitwayo Nyumbu-TATC,ILIYOPO katika kambi ya jeshi ya nyumbu kibaha...sifa zote ulizozitaja ndizo alizonazo baba yetu...
Tuwasiliane sasa : 0674329928

Thanks, nimechukua namba yako nakupigia ili tuongee vizuri coz the details ulizotoa zinawiyana sana hope ni mwanzo mazuri.
 
Nashukuru kwa wote mliochangia mada hii nimechat na Onecmo na maelezo yake yanaoana na historia yote nilokuwa nayo na hivyo nashukuru nimempata mzee niliyekuwa na mtafuta nashukuruni sana. Kwahiyo japo sifungi mjadala lakini naamini msako wangu umefika tamati na mengine yatakayoendelea hayawezi kubadili ukweli kwamba nimempata niliyekuwa namtafuta. Shukrani za dhati kwa Osaka, Onecmo, jackline, na wengine wote mliojitoa na kutumia muda wenu kunisaidia kumtafuta na kwa kweli ndani ya muda mfupi nimempata baba yangu au at least wadogo zangu ambao nimechat nao. Lini ntakutana na Mzee ni matter of time. Thanks you all for everything.
 
Ukishaaongea nae pia ulete feedback. Tutarudi hapa tena kwa ushauri mwingine. Go...
 
Nashukuru kwa wote mliochangia mada hii nimechat na Onecmo na maelezo yake yanaoana na historia yote nilokuwa nayo na hivyo nashukuru nimempata mzee niliyekuwa na mtafuta nashukuruni sana. Kwahiyo japo sifungi mjadala lakini naamini msako wangu umefika tamati na mengine yatakayoendelea hayawezi kubadili ukweli kwamba nimempata niliyekuwa namtafuta. Shukrani za dhati kwa Osaka, Onecmo, jackline, na wengine wote mliojitoa na kutumia muda wenu kunisaidia kumtafuta na kwa kweli ndani ya muda mfupi nimempata baba yangu au at least wadogo zangu ambao nimechat nao. Lini ntakutana na Mzee ni matter of time. Thanks you all for everything.

Poa sana mkuu!
 
Kuna Gersion Kasanga yupo nyumbu kibaha katika kiwanda cha kutengeneza magari ya nyumbu no mwenyeji was Tabora sikonge nadhani majina yanafanana sana
 
Mimi nafanya kazi na Hugo jamaa nl kweli mweupe na mkimya sana na nipo naye nyumbu kibaha jeshini lakinI yeye Si mwanajeshi pigs simy namba 0754286329 namba Yang nikufahamishe zaidi
 
Asanteni sana kwa wote mliosaidia kupatikana kwa ndugu yangu, ni kweli ni ndugu yang kabisaa from the same father...
May Lord blesa yo'all ...
Appreciating on JF

Hivi mkuu@onecmo96 baba yenu hajawahi kuwaambia kuwa aliwahi kuzaa mtoto huko Tabora? Kama siyo,why he did'nt? mgoshawampasa hongera kwa kumpata baba yako,Hakika ninahisi furaha uliyonayo. I wish jf tungeshuhudia tukio la wewe kukutana na baba yako na ndugu zako kwa mara ya kwanza.

Viva JF, viva mgoshawampasa.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom