Huo mkataba mwanafunzi alikuwa anapewa?Soma vzr mkataba na mashariti baina ya HESLB na mwanafunzi halafu ndo uje hapa jamvini
Kustopisha hizo charges ni kuanza kulipia hata kidogo. Otherwise, itaendelea kukua tu!Mimi nimeomba statement wamesema wanacharge value retention fee ya 6% annually na penalty. Tatizo sikumbuki kama Mkataba unakipengele cha hiyo retention fee. Mnaweza nisaidia kwa hili maana deni unakuta ni 11M lakini ukiongeza hii fee inakuwa 16M
Ndugu kazi za Serikal nying ni majanga hasa kama hujakaa kwenye kitengo chenye dili, mishahara ni midogo sana, Nilipata chaka zuri kidogo nikakimbia.umeachaje na watu tunalilia nafasi au ulipata chaka zuri zaidi
Mkuu na wewe utakua mfanyakazi hewa,Hawa jamaa wananidai na bahat mbaya nilianza kulipa nikiwa nimeajiriwa serikalin kwa sasa nimeacha kaz sijajua den langu litakuwa bei gan.
Duc in Altum
Kukopa harusi,kulipa matanga.Lipeni na wadogo zenu wakope.jinsi deni linavyozidi kukaa ndivo linavyoozidi kuongezeka