JF enzi hizo ilikua ya moto sana. Nyuzi zilikua zinasisimua na mafunzo ya kutoshaa. Mkuu Eiyer kuna jamaa alikua anajita juve na wakuu wengine majina yamenitoka. Walifanya nisikauke umu. Ila now days...!!!!🚶
Mbona mnatumia nguvu kubwa kumtetea uyo kaburu wenu. Jana kala mkong'oto wala sio la kuficha.. msijifiche kwenye kimvul cha sijui hatujaumia sijui vile... kugongwa kugongwa tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.