Huko sauzi sio wanakunyanyasa tu ila wanakuuwa.Hamjaona watu wanauliwa ovyo sio na makaburu ni hao waaAfrica wenzetu.Kila nchi inaubaguzi wa kiaina
Hata hapa Bongo ubaguzi uko unyanyasaji uko utaenda kushitaki kituo gani cha polisi.
Mkuu hapo umenena.wako watu humu wao ni kejeli tu.MwenyeeEzMungu ndie anaye toa rizki.Ukienda sehemu yeyeto dunia utafanikiwa ili mradi mkweli,muaminifu na mchapa kazi.
Nitakutafutia namba za simu za hao ma agent.Usife moyo kaka
Duh nilikuwa sijui San Francisco,Los Angeles huko USA,Ulaya,Australia nchi nyingi za Asia sikujuwa ni nchi za Kiislamu maana mpaka ndoa za jinsia mmoja zinafungwa kwenye makanisa na maaskofu mashoga.meya wa mji mmoja Indiana USA anagombea uraisi wa USA kaolewa na mwanamme mwenzake nadhani na...
Mkuu hili Swali la kununua ndege kaulizwa mara kibao.
Jibu lake:Ndege sio kitu muhimu kwake anaweza Kodi charter akihitaji.
Kama Mo angekuwa mtu wa mbwe mbwe Nadhani angenunua.Halafu sio Kila Bilionea anamiliki ndege.
Waren buffet $83B,Mark Zuckerberg $70B, Jeff bezos &97B hawa ndio 1% na ndege...
Pamoja na kuwa STD 7
Unaona anavyo wanyesha watu kama wewe wenye
PhDs na MaMBA yenu ya Harvard au Oxford au ile ya Dar inaitwaje Vile ? Wote.
Mtalia sanaaaaaa tu.Ohh rudini mikoani maana hamna namna.
Kama hujui kitu Tafadhali usiongee pumba.
Vikao vyote vya UN vya kulaani ugaidi au vita vya ndani
Nchi nyingi pamoja na Tanzania vinapiga kura ya kulaani.
Je unao takwimu kwamba nchi zilizo laani walifanya uchunguzi ambao wewe unaweza kuthibitisha?
Wacheni Unafiki wakutofungamana na upande...
Point ya Zitto ni Tanzania haikulaani hicho kitendo kwa kura yake.Zitto hajakurupuka na tena hakuingiza Udini
Maana watu wanao uliwa,kubakwa na kuchomewa ma kazi yao ni WAISLAMU.Kama wangekuwa wa upande ule ungeona kelele za UGAIDI.
Sema hivi UCHUMI WA TANZANIA ULIBOMOLEWA NA NKAPA.Sio ulijengwa. Nkapa na familia yake na wapambe wake walituibia na kutushikisha ukuta.
Anayo haki ya kutuita Malofa na wapumbavu.Shenzi taipu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.