Madereva wenzangu, na wamiliki wa vyombo vya moto.
Pamoja na sifa zote nilizo nazo lakini sina kazi ndugu zangu,... Najua kimsaidiacho mtu chake,. Lakini havitonisaidia chochote pasina nguvu zenu... Hizi kazi zetu za Udereva, bila kushikana mkono huezi pata, labda itokee kama bahati tu
Sina...