MGODOLO
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 209
- 176
Madereva wenzangu, na wamiliki wa vyombo vya moto.
Pamoja na sifa zote nilizo nazo lakini sina kazi ndugu zangu,... Najua kimsaidiacho mtu chake,. Lakini havitonisaidia chochote pasina nguvu zenu... Hizi kazi zetu za Udereva, bila kushikana mkono huezi pata, labda itokee kama bahati tu
Sina kazi ndugu zangu, nina uzoefu wa Gari aina yeyote ile, na nitafanya kazi popote pale kazi itakapo tokea
Tusaidiane ndugu zangu, Hali sii hali... Familia nilio nayo, Mungu pekee ndio anajua
LOCATION: Arusha
CONTACTS : 0755360768
Nitangulize shukrani kwa yeyote atakayeguswa na hili,