Kwa utafiti wako je bei ya bidhaa huko south africa ni nafuu kuliko china? mana kila mtu akipata mtaji anawaza kufata mzigo china. ni kwa nn wabongo hawaendi kufata mzigo south?. bidhaa kama vile nguo, vifaa vya ushonaji kama vile vitambaa, cherehan, vishkizo, nyuzi, Spare za magari na pkpk...