Recent content by Mgito

  1. Mgito

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro umepewa taarifa yaliyotokea Kijiji cha Kimange leo

    Ni kweli mdau hayo maeneo ni hatari sana kwa utekaji wa magari hasa nyakati za usiku,tuwe makini sana kwa hizo nyakati za usiku, pia ningeliomba jeshi la polisi wawe wanafanya doria nyakati za usiku
  2. Mgito

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Doctor jitokeze basi mbona kimya, tunahitaji majibu yako
  3. Mgito

    JamiiForums Tanzania Unapopendwa na mtu sahihi

    Mahaba ya dhati
  4. Mgito

    JamiiForums Tanzania Mecca ndio mji bora duniani

    Swadakta
  5. Mgito

    JamiiForums Tanzania Mecca ndio mji bora duniani

    Swadakta
  6. Mgito

    JamiiForums Tanzania Tabia ya watoto kunyonya vidole, sababu ni nini na ipi tiba yake?

    . Mkuu wa Kwangu nimejaribu kuweka pilipili za kila aina imeshindikana, ana mwaka wa tatu sasa
  7. Mgito

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya TCRA: tiGO ndo Mtandao unaotoza gharama kubwa zaidi

    Kila mtu anapewa Ofa tofauti na mwingine, kwa hiyo mm napewa Ofa hiyo hapo juu
  8. Mgito

    JamiiForums Tanzania Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

    Simu aina ya tecno c5
  9. Mgito

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuchika: Hatutapandisha mishahara (ya watumishi wa umma), tunafanya uhakiki wa umri

    Hii nchi ni bora tukaiuza na kila mtu asepe na Chake, washatuona mandezi
  10. Mgito

    JamiiForums Tanzania Rais hana hotuba mpya, zote zilipendwa!

    Kwahiyo 2020 tutarajie hatagombea tena au!!!
  11. Mgito

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar, azuia bomoabomoa bonde la Makamba Tuangoma, asema ameagizwa na Rais Magufuli

    Basi wawalipe fidia Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mgito

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar, azuia bomoabomoa bonde la Makamba Tuangoma, asema ameagizwa na Rais Magufuli

    Hawa TANROAD mi bado sijawaelewa!! Hizo mita 121.5 za mwisho wa barabara wamezitoa katika kifungu gani cha sheria ya barabara, nijuavyo mm ni mita 30 za sheria ya mwaka 2007, hebu tufahamishane wandugu ni kweli sheria hii ipo au la Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mgito

    JamiiForums Tanzania Kutana na muuza maji ya madumu anayetengeneza pesa nyingi kwa mwezi zaidi ya mtu mwenye shahada

    Hilo changa la macho!!!! Bado hajatuambia hayo maji anayapata bure au anayanunua!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mgito

    JamiiForums Tanzania Mechi hii sio ya kukosa

    Mi mechi zote naangalia kupitia app ya startimes kwenye cm yangu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom