IGP Simon Sirro umepewa taarifa yaliyotokea Kijiji cha Kimange leo

Funguka usaidikeee wengine wakipata taarifa kama hizi wanajua kwa kuzipelekaaa na suala likatatuliwa mapema

Toa taarifa sahihi mkuu watu waingie kazini
 
Ni kweli mdau hayo maeneo ni hatari sana kwa utekaji wa magari hasa nyakati za usiku,tuwe makini sana kwa hizo nyakati za usiku, pia ningeliomba jeshi la polisi wawe wanafanya doria nyakati za usiku
 
Hii ni kesi kubwa ya pili kwa Simon Sirro nadhani leo hatolala.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom