Recent content by Mghothi wadala

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mungu hafichi ukweli: Mama Samia leo umejionea ubovu wa askari wetu wa Jeshi la Polisi

    Kwahiyo ulitaka wapige risasi Random ili waue raia wasio na hatia?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa

    Soo ulitaka aue aue watu wengi? Au wewe ndio ulimtuma? Acha masihara kwenye vitu vya msingi. Good job vijana wetu wa police
  3. M

    JamiiForums Tanzania Siku ambayo askari MP alipojitayarisha kumpiga risasi askari Sajenti kwa amri ya Mkuu wa Kambi ya Mgambo JKT

    Kwanza hamna Silaha inayoitwa SMG Bali SMG ni .kundi la silaha za aina fln za upigaji. Yaan SMG uzi gun SMG Ak47 nk sasa wewe ulikuwa unamaanisha nini ulivyosema SMG? Na mara luten mara sajent. Aliyehariri story yako hajahariri vzr
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushahidi kuwa Elimu yetu haitoshi: Angalia Wabunge na Polisi

    Wewe na nani mliwapa? IQ kubwa unakuja kulalamika huku mitandaoni. Njooni vijijini tulime huku au ufanye biashara ulipo. Sio kila siku ooh police or wabunge. Ungeenda ww police ili tuione hiyo IQ yako. Au ungegombea ubunge. Tufanyeni kazi vijana wenzangu tuache kulalamika lalamika mitandaoni
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais, napendekeza Police Post wakeshe kama manesi wa hospitali ya taifa

    Vituo vya police vinegawanyika kwa madaraja. Sasa Daraja A na B ni tofaut na daraja C. Kituo daraja c kinafungwa sa12 Kiutaratibu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?

    Huyu kaonewa huruma sana. Kweli unaenda Uhamiaji unadanganya kuwa wewe ni PCCB? Ametapeli Wangapi kwenye taasisi za kiraia? Piga Mbwa huyo
  7. M

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Polisi hawara aua mume wa ndoa kwa risasi

    Hongera sana Askar kwa kufanya kazi iliyotukuka. Kama raia alikuwa na nia ya kumjeruhi askar mwenye bunduki maana yake alikuwa anataka kumnyang'anya askar bunduki. Nadhani askar kafanya kaz nzur sana. Apigiwe makofi tafadhali
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nashauri polisi wa Tanzania (especially Traffic) wafungiwe BodyCams

    Mimi nijuavyo gari nyingi ni mbovu, hawa jamaa wakiamua kukomaa cc wa magar ya mchanga ndio tutaumia zaidi. Lakini kama mtu hauna kosa why utoe rushwa? Mara Nyingi rushwa inakuja pale ambapo dereva anamakosa bt anataka asamehewe. Ndio ile kufa kufaana. Yote kwa yote Rushwa ni mbaya sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kufikisha malalamiko JWTZ

    Nenda Kituo cha police karipoti ajali, then kwakuwa una mpaka namba ya gari iliyokugonga utapata haki yako. Sheria inaelekeza vzr namna ya kushughulikia gar za police zilizopata ajali
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtindo mpya wa trafiki kula rushwa (picha)

    Mimi nadhani tuanze kuwaambia wenye magari waweke magari yao vzr ili wasiwashawishi vijana weir. Wakiamua kuwaandikia kwa kila kosa wanalolikuta haitapendeza sana. Acha wivu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, viapo vya Wateule wa Rais ambao ni Waislamu ni sahihi?

    Sio sawa kisheria Waislam wanathibitisha na wakristo wanathibitisha. Muislam anaanza na maneno Wallah wabillah watallah mimi Mpare mweusi nathibitisha...... Mkiristo anaanza kwa kusema Mimi Msukuma mrefu naapa.... Msingi wake ni kuwa muislam hawez kuapa mbele ya binadam mwenzake Bali...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Ni kama daftari dogo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Hii ni kama wimbo mpya wa Bahati Bukuku
Back
Top Bottom