MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
PanyaRodi wametembelea mitaa yetu wameshatia hasara. Tumekimbilia Police post wamefunga saa 12 jioni kama duka la mhindi.
Kuna faida gani ya hivi vituo kuwepo? Kuna faida gani ya uwepo wako? Wananchi tujuzane, hivi ni sawa kituo cha ulinzi wa wananchi kufungwa saa 12?