Kiherehere chao CCM Zanzibar, hawatakiwi Bara wao bado wanajipendekeza, hivi hawa akina Chombo, Salimin Awadh, Waride Jabu, Asha mtama, Nahodha hawawezi kuchambua pumba na mpunga. Wanatukunwa, wanabaguliwa, wanazalilishwa wao wapo tu kujikomba kwa watanganyika. Alianza Pinda, Lukuvi, Sita na...