Tanzia: kifo cha Sheha wa Ole Mussa Mashati (CCM)

Tanzia: kifo cha Sheha wa Ole Mussa Mashati (CCM)

albuluushiy

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
1,404
Reaction score
687
Habari zilizotufikia ni kuwa sheha wa Ole(CCM), Mussa Mashati, amekuja Unguja kimatibabu na kwa bahati amehitajika na Allah leo hii. Maziko yatakuwa fuon Zanzibar (Unguja) saa kumi kutoka sasa hivi, si muda mrefu tena atakuwa hapa. Mimi niko Zanzibar sasa hivi kwa ajili ya mazishi.

Allah amlaze mahali pema peponi.
 
Poleni sana, napafahamu Fuoni naomba picha kutoka Kwerekwe hasa shokishoki na mabungo.
 
Habari zilizotufikia ni kuwa sheha wa Ole(CCM), Mussa Mashati, amekuja Unguja kimatibabu na kwa bahati amehitajika na Allah leo hii. Maziko yatakuwa fuon Zanzibar (Unguja) saa kumi kutoka sasa hivi, si muda mrefu tena atakuwa hapa. Mimi niko Zanzibar sasa hivi kwa ajili ya mazishi.

Allah amlaze mahali pema peponi.

Kwani kuna Sheha wa CuF?
 
R I P
eti wanasema sharti la usheha zenji inabidi uwe wizard..
sijui ni kweli ?
 
R I P
eti wanasema sharti la usheha zenji inabidi uwe wizard..
sijui ni kweli ?

Na pia uwe ni mtu mwenye roho mbaya ambayo iko tayari kumkataa hata ndugu yako wa damu, mtoto wako wa kumzaa mwenyewe iwapo atakuwa ni mwanachama au mfuasi wa CUF.

Na sharti jengine ni lazima uwe muongo na mwenye fitna na ambae uko tayari kuwapigisha na hata kuwaulisha wale wote ambao si wanachama au wafuwasi wa CCM.

Uwe tayari kuwanyima wenye haki haki yao na kuwapa haki ambao sio haki yao.
 
Watu waongo sana Wallah sijui kwanini hayo masharti umeyatolea wapi? Na kama watu kukosa vitambulisho mbona ni wengi tu tunakosa hata mm nmekosa mara hii kupiga znz. sisi sheha anafanya hadi baadhi ya kaz ambazo zilipaswa kufanywa na mwakilishi acheni huo ujinga
 
Back
Top Bottom