Recent content by Mgeni wa Jiji

  1. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania Mpasuko wa Ndani: Jinsi Kitchen Party Gala na Vikao vya Wanaume Vinavyotumika Kama Mpango wa Siri wa Kusambaratisha Mshikamano wa Familia

    Mimi nitabaki kuwa timu KATAA NDOA ila hivi vikao sitawahi kuvisupport sababu ni ufala mkubwa sana. Wanaume tukutane vikao vya magari, pombe, vikao vya kazi na vya starehe zingine sio hivyo vua kisengenya wanawake huo ni ufala sana.
  2. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania Bla-bla za Watanzania ndani ya JamiiForums

    Fanya kile roho na nafsi havitaulaumu mwili
  3. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania Ila private sector kuna watu wanakula maisha balaa

    Ili biashara usibabaishwe na 1m ya mwezi inabidi uwe na miaka walau 5 kwenye soko au uanze na mtaji mmoja mkubwa sana na ukishakuwa una hizo hela tangu mwanzo 1m kwa mwezi haiwezi ikakubabaisha. Biashara ni ngumu wakuu, kama unanafasi ya kuajiriwa wewe ajiriwa tu, kuteseka sio sifa wala kipimo...
  4. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 UCHAMBUZI: Maswali 10 Muhimu Kuhusu Ripoti ya Tume ya Jaji Chande

    "The absent of evidence is not an evidence that something doesn't exist. " Samuel Jackson
  5. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania BASATA: Yapo wapi maadili kwenye hii nyimbo "Darasa la saba ya Mbosso" inayohamasisha mapenzi kwa watoto wa shule?

    Ipo, sheria ya elimu. Marekebisho ya sheria ya elimu yalifanya kuwa na mahusiano na mwanafunzi wa shule ya msingi au sekondari kuwa ni kosa la jinai. Tena hapo ni bila kuzingatia kabisa umri akishakuwa ni mwanafunzi wa shule tu kwisha habari yako. Mbaya zaidi ni ikionekana una uelekeo huo wa...
  6. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania BASATA: Yapo wapi maadili kwenye hii nyimbo "Darasa la saba ya Mbosso" inayohamasisha mapenzi kwa watoto wa shule?

    Mbona nimeweka marejeo hapo chini au elimu yako ni ndogo kiasi cha kushindwa kuona hayo marejeo kiongozi?
  7. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania BASATA: Yapo wapi maadili kwenye hii nyimbo "Darasa la saba ya Mbosso" inayohamasisha mapenzi kwa watoto wa shule?

    Habari wana JF, Niende moia iwa moja kwenye hoja yangu ambayo pia naileta kama swali kwa baraza la sanaa ambalo huwa linasimamia pia maadili kwenye kazi za sanaa pamoja na mamlaka zetu zote zinazohusiana na kumlinda mtoto zikiongozwa na wizara husika. Kuna huu wimbo mpya ya msanii Mbosso...
  8. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania Hivi kesi kama hizi bado zinastahili kuwepo?

    Mjini mtu hazururi maana ni gharama kutoa point A kwenda point B
  9. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania Vazi moja la taifa, matamanio yasiyoweza kufikika

    Salamu wana JF Hii mada ya vazi la taifa ni miongoni mwa mada zinazoonesha namna gani hatupendi kukubaliana na ukweli wa mambo sisi kama watanzania. Ukweli ni kwamba kama taifa lenye zaidi ya makabila 120 haiwezekani kuea na vazi moja la taifa tena tukabaki kuzingatia tamaduni zetu. Ni vipi...
  10. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani mchumba wako alifanya, ukajua huwezi kumuoa au kuolewa naye

    I hope ulikuwa ushamaliza swala la ufunuo mheshimiwa raisi 😂😂
  11. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania Ila kuachwa

    Ina maana kijana hakukolea na mambo ya Ntwaraa? Aisee. Tusikitike kidogo 😔
  12. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania Binti/kijana vipi mungu akikupa mwenza mwenye tabia kama mzazi wako, maisha yatasonga au inahitaji moyo?

    Ila zama nazo zimebadilika sana Mkuu. Maamuzi ya 1980s hayawezi kufanana na leo 2025
  13. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo mlisema wadada wenye style hii ya nywele huwa wana tabia gani?

    Yupo serious na ni ukweli mtupu. Fuatilia watoto wenye vipilipili huwa watundu sana. Ukubwani wananyoa vipara na kugeuka watata/wakorofi sana. Angalia wanaume wenye rasta, hawa jamaa wanajiamini sana. Ni nadra kukuta rasta muoga muoga. Kitendo tu cha kufuga rasta ni ishara ya mtu kujiamini...
  14. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania Leo tuongee na wanaume vibonge, mnazingua sana wanetu

    Madai yao Upepo na joto
  15. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania UDSM mwaka huu kuna nini?

    Ufauli wake O'Level upoje? Na je alisoma shule ya Technical?. Huyo mtu hata akiwa na 1 ya 3 kama O'level hakusoma masomo au shule yenye mrengo wa hiyo fani jua hawezi mchomoa mtu mwenye 1 ya 4 ambaye O'level alisoma shule na masomo ya mrengo wa hiyo fani. Ufaulu wa A'level ni moja ya vigezo ila...
Back
Top Bottom