Recent content by MGENDAFILE

  1. M

    TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    mungu ampunzishe mahala pema,ila kwa sisi tuliobaki kifo cha mtikila kiwe funzo,watz tunakufulu sana kumnyoshea mtu kidole eti mgonjwa,
  2. M

    Ndege ya Precision Air yapasuka matairi yote manne huko Arusha!

    Sasa ndugu yangu hapo ndo utakapojua kila sehemu tanzania ni kuchakachua,sasa kama wanaweka viraka kwa matairi hawa jamaa wataweza kununua spear kweli,haya wakifungiwa ndo shirika lenyewe la ndege,hao mafisadi wa wakisafiri kwendaa makwao ndo usafiri huuhuu,hakuna option labda kwa mwanza ndo...
  3. M

    Simba yapigwa faini ya 25 million kwa kuitia hasara serikali

    Sasa bado sijapata point yako,yaani kwa maana hiyo unaonyesha unaunga mkono uharibifu uliofanywa au,maana huko kungine kukiwa kubovu au vyovyote wewe ulitaka huu ujinga uliofanywa na hao wahuni wachache uachwe,wabongo lazima tujifunze,huko ulaya mashabiki wakileta fujo ni timu ndo inaadhibiwa...
  4. M

    Mwanamke alimnyima lift Ufoo Saro! Unaichukuliaje hali hii?

    nakuunga mkono kweli huwezi kukurupuka na kutoa msaada kwa mtu aliye katika hali kama hiyo,maana kama wabaya wake walikuwa wanamfuatilia ujue na wewe umo,nimeona kama nae yule mdada alikuwa anamfuata mzazi,so hapo damu nzito kuliko maji aache kumfuata ndugu yake aje amuokoe mtu baki hapana...
  5. M

    Ajali Kibaha yaua Mhadhiri wa SUA

    kwanza natoa pole kwa ndugu wa mhadhiri,waswahili tunasema ajari haina kinga ingawa wenzetu wanapinga na mimi naona wapo right,inawezekana mhadhiri labda hakuwa na uzoefu wa kuendesha gari kwa long journey au tatizo la gari,anyway kwa barabara ya dsm moro angalau ipo katika viwango,kwa matumizi...
  6. M

    Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

    mi nadhani hata kama atakwepa kodi still inajengwa hospitali sio hotel au appartment,hayo makampuni ya madini yanayosahamewa kodi ni bora zaidi kuliko anaetaka kujenga hospitali,watz tuache unafiki.KEEP IT UP DR.
  7. M

    Kumbe ilikuwa jeuri ya madawa!!

    Mi sidhani kama watafilisika as long jamaa wamewekeza sana,hivi viberiti na appartment zote hapa Dar na Arusha na miji mingine,haiwezekani gari itoke leo japan baada ya mwezi unaikuta inasukumwa na mbongo,mzungu mmoja aliwahi niuliza nyinyi watz ni matajiri sana,mwana tatizo system yote imeoza...
  8. M

    Polisi wa Arusha walalamika kutengwa na jamii

    Hii hali ya polisi kutengwa hata mtwara ipo,polisi hapati chumba au nyumba uswahilini.nawapa pole sana polisi wapo katika mtego mbaya
  9. M

    Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    Mungu awapumzishe kwa Amani wote waliopoteza maisha na awajalie waliopata majeraha,nguvu ya umma hakika itashinda
Back
Top Bottom