Recent content by Mgegedo

  1. M

    JamiiForums Tanzania TTCL wapandisha vifurushi

    Hivi kumbe Halotel bado wapo nchini ? 🤔🤔
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tume ya Ajira, tunaomba mtuwekee matokeo ya 'written interview' kwenye account zetu au tovuti yenu

    Piga msuri kama vile kesho unaenda kufanya mtihani wa taifa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Clinician at MDH (1Post)

    Sasa wangekua wanatangaziana tu ndani kimya kimya kuliko kuleta masihara kwenye mambo ya ajira.Nadhani wanaendesha usaili kama ushahidi tu ili ukaguzi ukipita wapate kujitetea kwamba mchakato wa usaili ulifanyika.Kuna nafasi za Data Officer walifanyisha watu usaili hapa Dar lakini mpaka leo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Clinician at MDH (1Post)

    Hawa jamaa kazi zao utaishia kufanya usaili tu lakini hutokaa uitwe kwenye ajira...... Wanafanyisha watu usaili lakini hawawaiti kwenye ajira.......hawa jamaa huenda interview zao ni kama formality tu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sharti gani ushakutana nalo pindi umeenda kuangalia TV kwa jirani miaka hiyo ukiachana na mkae chini

    Mtoto wa mwenye nyumba hata akikupiga kofi inabidi ucheke tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Guest house za bei nafuu Dar

    Wengine sisi kutembea na wake za watu ni mwiko
  7. M

    JamiiForums Tanzania Guest house za bei nafuu Dar

    😆😆😆
  8. M

    JamiiForums Tanzania Guest house za bei nafuu Dar

    Zenye Bar nje hapana aisee
  9. M

    JamiiForums Tanzania Guest house za bei nafuu Dar

    Asante
  10. M

    JamiiForums Tanzania Guest house za bei nafuu Dar

    Shukrani kiongozi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Guest house za bei nafuu Dar

    Heshima kwenu washikadau Embu kwa wenye uzoefu tutajiane Guest House za bei nafuu kwa hapa Dar hasa maeneo ya Sinza na Manzese na hata maeneo mengine Bei kuanzia 10k,15k au 20k Karibuni
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa EATV adai anapenda kufanya ngono kila siku

    Dishi limeyumba huyo
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke akimtongoza mwanaume huchukuliwa kama malaya ?

    Kuna wanawake ambao wameumbwa na ujasiri wa kumtongoza mwanaume pindi wanapoona wamevutiwa na mwanaume huyo kimapemzi. Mwanamke mwenye ujasiri wa namna hii huwa hasiti kumfuata mwanaume na kumueleza ukweli pindi anapoona amevutiwa nae kimapenzi Pamoja na ujasiri wa wanawake hawa kufanya hivi...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utachukua uamuzi gani pindi mpenzi wako anapogoma kusamehe

    Mfano wewe ni mwanaume au mwanamke umemkosea mpenzi wako kosa ambalo linasameheka lakini ulivyomtumia ujumbe wa kumuomba msamaha mwenzako akaendelea kukaa kimya bila kujibu chochote Je inapopita kama wiki moja bila mawasiliano utaendelea kumbembeleza tena au na wewe utaamua kukata mawasiliano...
Back
Top Bottom