Mtangazaji wa EATV adai anapenda kufanya ngono kila siku

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
2,857
7,846
Msikilizeni huyu mdada (Suzan) akiwa anahojiwa, anadai yeye anapenda kufanya ngono kila siku, na kuna mwanaume wake alikua hamridhishi, na anahisi ni kwa sababu alikua anapenda sana kula chips kuku.
 
Si nimesikia keshafukuzwa?

unaaweza kuona mtu hajielewi kumbe anajua anachofanya

hii generation ina obsession na followers na likes na clicks na hits
ni faida gani wanapata wanajua wao
We think alike. Tena huyu huenda anakaa hata miezi miwili mitatu bila kunaniliu.

Hao ambao wako kimya ndio noma. Unapaki gari stendi ya dala dala unamaliza shida zako
 
Hebu picha yake tumuone. Tuangalie mdomo wake huo unaotoa maneno machafu kama anautumiaga kwa kula chakula au kunyonya uchafu vyooni.
 
Mbona ana mdomo mkubwa wataalamu wa phisiology na mophology mtuambie inamaanisha nini? halafu!!! hawa sijui ni wasanii sijui ni watu gani wa dar hawa hivi huwa wana wazazi kweli ambao wanaweza kuyasikia wanayoyasema hadharani au wamejizaa wenyewe???
Wengi backgrounds zao zinawaruhusu kufanya hivyo. Most of them ndio bread winner nyumbani kwao. Ndio kioo katika Jamii zao huko..na pia wanaonekana huku wanakoonekana tu..huko vijijini kwao hawana muda wa kufatilia mtandaoni.
 
Si nimesikia keshafukuzwa?

unaaweza kuona mtu hajielewi kumbe anajua anachofanya

hii generation ina obsession na followers na likes na clicks na hits
ni faida gani wanapata wanajua wao
Kumbe walimtimua eehh? Walishtuka kuwa wameajiri chizi fresh
 
Mbona ana mdomo mkubwa wataalamu wa phisiology na mophology mtuambie inamaanisha nini? halafu!!! hawa sijui ni wasanii sijui ni watu gani wa dar hawa hivi huwa wana wazazi kweli ambao wanaweza kuyasikia wanayoyasema hadharani au wamejizaa wenyewe???
Hahahahaha.... Unataka kusemaje mkuu??
 
Back
Top Bottom