TTCL wapandisha vifurushi

Toka awali nilikuwa napata hiyohiyo sijaona badiliko Kama ni hivyo!
 
Hata voda nimepata MB 750 kwa buku kwa miezi kama miwili sasa leo naona zimekua 650 wakifuta tu hiyo kifurushi napumzisha internet za mobile nakubaki na wifi za bure mchana
 
Hata voda nimepata MB 750 kwa buku kwa miezi kama miwili sasa leo naona zimekua 650 wakifuta tu hiyo kifurushi napumzisha internet za mobile nakubaki na wifi za bure mchana
wifi za bure mchana unapata wapi boss ?kazini au chuo
 
Kwenye dakika ndio balaa. Kwa sh. 3000+ nilikuwa napata dakika 700+ sms 50 na MB 100, sasa ni 6700 kwa vifurushi kama hivyo..
 
Back
Top Bottom