Kumbuka Dangote alifanyiwa figisu za kutosha baada ya kujenga kiwanda Cha Saruji kule Mtwara Mpaka akapunguza uzalishaji na usambazaji kisa TU Kuna twiga cement na wengingine waendelee Kuteka soko kwa sababu vigogo wa The wazee ni shareholders . Hata ningekuwa Mimi nisingewekeza kiwanda Cha...
kisa cha Jambazi mrundi aliyeitwa Swaga Ng'ombe, na Komando Dogo ilikuwa hatari sana sema Nini , Operation Kimbunga ilisaidia sana kikwete Hadi akataka kutuingiza vitani Na Rwanda.
Habari za wakati huu Wana panels,
Naombeni ushauri juu hizi ya photocopy mashine aina ya Canon ir 2520, 2525, 2530 na 3225. ipi ni Bora na imara kati hizo? Ninampango wa kununua .
He wewe so msukuma, Noko, Iya, Nina, Yayu yote hayo humaanisha mama wa kukuzaa, ila mayo ni Jina la kumwitia mwanamke yeyote kwa Heshima anaweza asiwe mama Yako wa kukuzaa ndo una mwita Mayo.
He wewe so msukuma, Noko, Iya, Nina, Yayu yote hayo humaanisha mama wa kukuzaa, ila mayo ni Jina la kumwitia mwanamke yeyote kwa Heshima anaweza asiwe mama Yako wa kukuzaa ndo una mwita Mayo.
Kuna ushamba fulani hivi wanaume huwa wanaufanya ambapo kimsingi si uungwana na ustarabu hata siku Moja. Jamaa mmoja tulisoma wote chuo kikuu Sasa juzijuzi kapata ajira katika mji ambapo Mimi nafanya kazi.
Sasa aliponiambia amepata anakuja kuripoti nikamwambia afikie kwangu Cha ajabu Sasa jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.