Recent content by mgange hussein

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania GB 50 za Vodacom

    Imekubali
  2. M

    JamiiForums Tanzania Meli ya Sea Star kutoka Unguja kupitia Pemba mpaka Tanga ina kunguni sijapata kuona

    Napenda kutoa malalamiko yangu kwa wahusika kama watapata kufikishiwa. Meli ya Sea Star kutoka Unguja kupitia Pemba mpaka Tanga ina kunguni sijapata kuona. Nilikata tiketi ya VIP kuna makochi mazuri ila kunguni wanatupa shida sana abiria tunawasiwasi tunapeleka zawadi ya kunguni manyumbani...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuongezaka/kunenepa fasta, nipate diet gani?

    instra unatumia jina gani
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini karo la choo lisijae haraka?

    Weka chumvi ya mawe hata kilo kumi au magadi ndani ya shimo la choo ndani ya mwezi utaona maji yamenywea kabisa,mimi nimeshatumia ninauhakika.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Popo wamehamia kwenye nyumba yangu

    Hakuna dawa ya kuwaondoa popo moja kwa moja kiongozi watarudi tu.ILa lakufanya tafuta fundi aingie juu ya dari azibe kwa zege sehemu zote penye uwazi ukiwa juu ya dari utaona uwazi katika tofari na bati hiyo ndio dawa.Utakaa kwa raha mustarehe.
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nimefuta sms zote naambiwa storage is full

    Jaribu kwenda katika setting,kisha nenda katika Application.Ikifunguka tafuta Messege.Ikifunguka panda juu katika Storage bonyeza hapo.Itakuja Clear data ukibonyeza itafuta kila kitu katika messege baadae utaseti upya messege.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nimefuta sms zote naambiwa storage is full

  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanaotafuna vitunguu swaumu kila siku tukutane hapa

    Inasaidia sana kuondoa harufu mbaya, kama una jamba jamba ushuzi unaonuka
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Tatizo kubwa linalonikeza VODACOM,meseji za Tatumzuka,Instamoja,supa5,na nyingine nyingi.Ninapowasha simu zinakuja kama mvua mpaka nimelazimika kutoa sauti katika meseji.Nipeni ufumbuzi wa kublock meseji kama hizo.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni zipi athari za ugoro?

    Madhara mengine inaweza kukuletea vidonda vya tumbo,maana itakuwa inatengeneza gesi ndani ya tumbo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye namba au mawasiliano na Ali Express

    niliweka namba ya simu tu,na aliyenitumia wamesema niwasiliane na agent wa huku tatizo sijui agent namba zake au nitampataje.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye namba au mawasiliano na Ali Express

    Ninaomba mwenye mawasiliano au kunifahamisha ofisi za Ali Express hapa tanzaniaau Agent wa Ali Express wauzaji wa bidhaa kwa njia ya mtandao anifahamishe.Niliagiza bidhaa yangu inaonyesha imeishafika tanzania tatizo haijanifikia wiki sasa kwa hiyo nataka niwasiliane nao.Nitashukuru sana nikipata...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kutokwa na mkojo wakati wa tendo la ndoa

    shemeji ametoka mkoa gani.kama ni bkb wala usitafute dawa ni kawaida
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Shirika la Mfuko wa Pension (PPF) Anitha Oswald (32) Ni Mtuhumiwa wa Kusafirisha dawa za Kulevya

    tatizo gari alilolitumia kioo kina crack labda trafiki walipatia nafasi kumng'ang'ania
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    siku ukiwa katika majanga ndio utakapo jua kuwa kuna Mungu.Mbona ulipokuwa umefukuzwa kazi nilikuona kila jumapili unaenda kanisani.
Back
Top Bottom