Recent content by mganga mpendachati

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dalili zote zinaonesha ni Lowassa

    Wana JF jambo alilogundua huyu Mgombea ni kwamba alivyoona gari imeanza kugoma kuwaka baada ya safari ndefu ya nchi ya ahad miaka hamsini Na nne.Kwanza alipewa uwezo na Mungu wa Kuwa-identify problem very soon.Pili alivyoguundua Shida ni badrii Low charge.Haraka alishuka kwenye basi hilo maana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi waliosambaza Video ya Dr. Slaa akiingia chumbani Serena Hotel wafukuzwa kazi

    Mungu mguse Senior Counselor Adv. P KIBATALA awaongoze mpaka CMA wapewe warudishwe kazini ama wapewe s tahiki zao
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Ziara ya Mgombea Urais kwa tikeki ya CHADEMA, Edward Lowassa

    Mh.Mbowe na Mkurugenzi wa kampeni za mabadiliko.Mimi napendekeza ule wimbo wa Lowassa we...! hatuachi 'kukupenda hatuachi....." Utumike kwenye majukwaa na kampeni kabla mh Lowassa hajapanda jukwaani.Reason behind 1.Una maudhui mazuri sana 2.Una vuta hisia za watu 3.Una beats nzuri na kufanya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    "...........Kwamba yeye ni mwenyedhambi mimi sijui..najua neno moja tu..! Yakwamba NALIKUWA KIPOFU NA SASA NAONA" Yohana 9:25. Basi wale mafarisayo waliokuwa na lengo la kumchafua kwakuwa alimponya yule kipofu siku ya sabato walinyamaza kimya kisha wakaondoka kupeleka habari kwa mkuu wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa must be ashamed of himself. Anna Mghwira kamzidi kutawala jukwaa!

    Kama kuna Mtu anahitaji mashindano ya kukaa Muda mrefu jukwaani ahudhurie mihadhara ya kidini au afiike kwenye ibada ya pili mara nyingi zinakuwa za kiswahili. In politics we need policy "sera"even 5mnts is enough kama unasera Nzuri na Mvuto.Ref review Senator Barack Obama campaign.My take...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    Kama lengo ni kuibeba nchi kichwani hataweza lakini if he will be a leader of a nation"my dear this guy is "undefeatable"
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nanyimwa unyumba kisa mimi ni mwana UKAWA

    Jaribu kumuelewesha asihusishe siasa na haki ya msingi ya ndoa.Siasa ni huko nje mkisha ingia chumbani ninyi ni mwili mmoja.Ideological different za parties doesn't constitute any rights to empower a woman to run from her basic responsibilities. Mpendachapati
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hongera rais Kikwete kusaidia Wakulima kwa fedha za EPA

    Mbona wananch walipoomba majina ya waliorejesha pesa hizo hawakuwekwa wazi? Sasa bil.69 za wezi wa EPA zilirudishwa na Ku-depositiwa kwenye hiyo bank Kwa ajili ya wakulima hao waliozirejesha ni wakina nani? Basi bunge likubaliane kila mwizi akiwa-arrested arudishe alichoiba bila kujulikana jina...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

    Kodi za mishahara za "UN-CCM" should not be used by leading party because are not beneficiaries of service
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Kwenye mada ya channel 10 akiwa na mh.Msigwa na A.Kilala aliapa wasipoondolewa angejiondoa uwanachama Mbona Escrows wamepewa majimbo bado yupo ccm? Haoni wamemdharau lakini bado anajihusisha nao anapaswa ayaishi maneno yake aondoke aende act au abaki kuwa mwanaharakaIti Mpendachapati
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Professor Anna na Chenge Na wana escrow wamerudishwa ubunge na kupewa majimbo aliapa wasipoondolewa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Picha : Mapokezi ya Lowassa Mbeya

    Wananchi shown much love to our beloved CCM lakini kwa hali hii Mungu amekipenda sana chama "Bwana has given & also has taken His almighty name be blessed" Mpendachapati
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mafuta Petrol Stations

    Nilipiga kuomba delay.niliweka elfu 26 huwa najua ya adios wapi siku zote.alianza zero lakini akiweka hewa.yalipofika elfu 18 ndiyo nikawa Nasikia yanaingia alipomaliza nikamwambia njoo Mbona fuel haijafikia kipimo akasema labda ni gari yako gage problem nikamwambia unaona hii gari ni mpya na ni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mafuta Petrol Stations

    Oilcom Mbezbeach rainbow wanaongoza lakini mimi Siku hiyo nilipiga Simu Officn kwamba nikaamua kuzaa nao
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Habari wana jf Kwa uelewa wangu mimi nilichokiona kwa macho na kusikia kwa masikio na Kupata fasiri ni Kuwa Jeshi la Polisi limestisha maandamano ya wagombea urais wa political parties mbalimbali ikiwemo CCM/Chadema/CUF/nld/ nk wakati wa kwenda kuchukuwa Na Kurudisha form katika office za NEC...
Back
Top Bottom