Lowassa must be ashamed of himself. Anna Mghwira kamzidi kutawala jukwaa!

Mbona watu wanaongea vizuri sana lakini hakuna lolote la maana tunaliona. Serikali imefirisika kwa matanuzi
 
Kama kuna Mtu anahitaji mashindano ya kukaa Muda mrefu jukwaani ahudhurie mihadhara ya kidini au afiike kwenye ibada ya pili mara nyingi zinakuwa za kiswahili. In politics we need policy "sera"even 5mnts is enough kama unasera Nzuri na Mvuto.Ref review Senator Barack Obama campaign.My take gen.elect.2015 na hatima ya TANZANIAN "God will make a way where's it seems to be no way" yeye ataamua

Mpendachapati
 
Kama ni mabadiliko ni heri tuwape ACT wanaeleweka kuliko chagadema na fisadi wake ambaye hata kueleza atafanya nini hawezi/hana
 
Huyu MAMA wa ACT amemzidi Lowassa kila kitu.

Hakika Lowassa umetuaibisha sana wanaume wa Tanzania.

Yani ulishindwa jaribu hata ongea kama huyu MAMA.??

Sad.
Hotuba ndefu za nini sasa? Hotuba alishatoa Nyerere zinatosha kinachotakiwa sasa hivi ni vitendo sio hotuba ndefu.
 
Huyu Mama anawin votes nyingi na kamuacha Lowa sa mbali mnòo.

Yani kama ni marks,
Anna 99.999%
Lowasa 0.25%

Hapa tunachotaka ni mabadiliko tu. Sasa hivi hata aje Yesu lakini kama atakuwa upande ambao hatuoni kupata mabadiliko tunayotaka basi hapewi kura.
 
Kutawala jukwaa!!!!
Kutatusaidia nini sisi?kuna wanaume wa kawaida wenye maneno mengi kumzidi mwanamke? Unataka mwanaume abonge kuliko mwanamke!!! Utakuwa unatatizo wewe siyo bure.
 
Ccm wameongea vizuri kama kasuku, ila miaka 50 bado ni masikini, hii nchi inahitaji bubu sasa hivi
 
Ivi hayo mabdiliko mnayoenda yafuata UKAWA ni yepi hasa!!??
Hapa tunachotaka ni mabadiliko tu. Sasa hivi hata aje Yesu lakini kama atakuwa upande ambao hatuoni kupata mabadiliko tunayotaka basi hapewi kura.
 
Huyu MAMA wa ACT amemzidi Lowassa kila kitu.

Hakika Lowassa umetuaibisha sana wanaume wa Tanzania.

Yani ulishindwa jaribu hata ongea kama huyu MAMA.??

Sad.

Kwani umeambiwa kazi yake ni kupiga porojo majukwaani kwa ahadi zisizi tekelezeka?! Kufuli mwenyewe alikuwa anapigaa kelele kwenye majukwaa mpaka sauti ikamkauka.
 
Hatuitaji kelele majukwaani.......Sera cmple na zinazotekelezeka......mwanaume wa kweli hawezi payuka payuka hata cku moja ........cjui unavyopayuka unamaana gani wewe.........
 
Back
Top Bottom