Recent content by mg4

  1. M

    Natafuta mchumba wa kike ambaye atakuwa mke baadae

    Ni njema sana vip wewe
  2. M

    Natafuta mchumba wa kike ambaye atakuwa mke baadae

    Sa itakuwaje [emoji22]
  3. M

    Natafuta mchumba wa kike ambaye atakuwa mke baadae

    Mimi ni kijana wa kiume Umri miaka 28 Dini mkristo Rangi mweusi Natafuta mchumba wa kike ambaye ikimpendeza Mungu atakuwa mke Sifa awe kuanzia miaka 24-27 Dini mkristo Awe mchakalikaji maisha kusaidiana Dm zaidi
  4. M

    Tatizo la Kizunguzungu: Fahamu chanzo, dalili na tiba yake

    Wingi wa damu ilikuwa kiasi gani? Jitahidi kunywa sana maji pia
  5. M

    Msaada: Kutokana na dalili hizi huu ni ugonjwa gani?

    Mpeleke hospitali akachunguzwe. Kwanini unakaa naye bila matibabu kipindi chote hicho?
  6. M

    Wauguzi wakunga tukutane hapa

    Siyo kawaida Kama ameanza kuhudhulia kliniki watamshauri mengi mazuri kuhusiana na hali hiyo
  7. M

    Wauguzi wakunga tukutane hapa

    Hakuna muuguzi anaevaa sketi fupi mahali pa kazi kama sare.
  8. M

    Wauguzi wakunga tukutane hapa

    Hongera sana kwa kuhitimu Kwanzai inabidi ujue suala la ajira kwa sasa lipo vipi,ukifahamu hilo tafuta hospitali iliyo karibu nawe na uweze kujitolea huku ukipata uzoefu zaidi. Leseni kutoka haina muda maalum na kwa kuwa bado matokeo hayajatoka kuwa na subra yakitoka ufanye mtihani wake ndiyo...
  9. M

    Qualification ya kufundisha vyuo vya afya ngazi ya Diploma

    Mtoa mada alitaka kujua kama akihitaji kufundisha diploma na ana degree huko kwingine labda ni kuongezea maelezo lkn nimemjibu kulingana na swali lake alivyouliza
  10. M

    Qualification ya kufundisha vyuo vya afya ngazi ya Diploma

    Kama una bachelor degree ya fani husika kasome pia teaching methodology ndiyo utapata kuweza kufundisha katika hivyo vyuo au ukapata ajira kama Mwalimu.
  11. M

    DEGREE vs DIPLOMA

    Kasome pharmacy kijana.
  12. M

    True Story: Na hii ndio sababu kwanini situlii na demu mmoja

    Hisia za mwanamke ni za kweli kabisa. Maumivu aliyokupatia mwanzo kwa kukuacha solemba ilikuwa funzo kwako lkn ukafanya kosa. Usiwe na huruma kwa mpenzi wako wa zamani alikutenda ukahisi atakuja kuwa kama mwanzo Siku zote anaeondoka kwako na kukuacha si yule atakaerudi tena kwako na kwamba...
  13. M

    Wanyakyusa kipaumbele ni Usafi na sio kujengewa barabara za lami

    Unazingua kinyama yaani. Chuki zako unaleta uzi hapa.kama uliondoka kwa kufanya mabaya ukapewa adhabu basi jifunze na si kuanza ongea uongo ambao haupo. Unadhani ni ww tu ambae unayajua hayo maeneo zaidi ya wengine hadi kujifanya umewajua saana kuliko wengine?? Unaweza anza upya tafiti zako...
Back
Top Bottom