Kama una bachelor degree ya fani husika kasome pia teaching methodology ndiyo utapata kuweza kufundisha ktk hvyo vyuo au ukapata ajira kama mwalimu
Kwa hiyo mtu ana PhD ya Mechanical Engineering alafu arudi akasome hako kakozi kamoja ndio afundishe? Nani kakwambia chuo wanafundisha? unajua tofauti ya instructor na Teacher kweli?
Mkuu basic salary kwa kufundisha Diploma imekaaje kwa Elimu ya DegreeKwa hiyo mtu ana PhD ya Mechanical Engineering alafu arudi akasome hako kakozi kamoja ndio afundishe? Nani kakwambia chuo wanafundisha? unajua tofauti ya instructor na Teacher kweli?
Kwa hiyo mtu ana PhD ya Mechanical Engineering alafu arudi akasome hako kakozi kamoja ndio afundishe? Nani kakwambia chuo wanafundisha? unajua tofauti ya instructor na Teacher kweli?
Kwa hiyo mtu ana PhD ya Mechanical Engineering alafu arudi akasome hako kakozi kamoja ndio afundishe? Nani kakwambia chuo wanafundisha? unajua tofauti ya instructor na Teacher kweli?
Bborion,
Nina mashaka na usahihi wa hili,k wa kiasi nachofahamu sifa za academic staffs kwa vyuo vikuu na taasisi zingine za elimu ya juu huwa zinatolewa na mamlaka husika zinazoongoza taasisi hizo kama NACTE, na TCU, bila kujali ni chuo binafsi au cha serikali. Mara nyingi (sijawah kusoma TCU or NACTE guidelns) Universities zinahitaji 3.8 GPA kwa US na 4.0 GPA kwa PS. Na kwa college, Institute wanahitaji 3.5 GPA kwa US na 3.8 GPA kwa PS.
Rejea kwa swali la mwenye uzi, kwa vyuo vingi vya afya (Diploma) G.P.A hazizingatiwi kwa wana taaluma wa udaktari (hawa nin not realy soma ukura wa 176 ......TCU guide book