Wauguzi wakunga tukutane hapa

Wauguzi wakunga tukutane hapa

Hongera sana kwa kuhitimu
Kwanzai inabidi ujue suala la ajira kwa sasa lipo vipi,ukifahamu hilo tafuta hospitali iliyo karibu nawe na uweze kujitolea huku ukipata uzoefu zaidi.
Leseni kutoka haina muda maalum na kwa kuwa bado matokeo hayajatoka kuwa na subra yakitoka ufanye mtihani wake ndiyo usibiri sasa kupata leseni yenye.
Karibu ktk fani.
Habarini wanandugu?
Nimemaliza chuo mwaka huu natafuta sehem ya kujishikiza huku nikisubiria matokeo ya mtihan wa lesen
Pia nilikuwa naulizia kwa wenye experience kuwa lesen za huwa zinachukua muda gani kutoka manake mm nimeandika mtihan mwez wa 9
 
Safi sana Manesi na Wakunga, Mungu awabariki sana. Mnatusaidia sana na mnafanya mambo yaende vizuri, sector ya afya ni ushirikiano wa watu wengi ambao kwa pamoja tunaunda kitu kimoja, ila katika ushirika huo niseme wazi Manesi mnacheza nafasi kubwa sana. Mungu azidi kuwapa moyo mkubwa mzidi kuhudumia jamii
 
Mkuu mjamzito kuvimba miguu ni kawaida?

Kuvimba miguu kwa mjamzito sio kawaida hizo ni dalili za kuwa na shinikizo la juu la damu ambalo lisipothibitiwa kwa ukaribu mwishoni mama anaweza kupata kifafa cha mimba
 
kwa nini wauguzi wa kiume wanataka kuitwa Madaktari
 
Tuna saini wapi?
Habari za jioni wana jamvi, ni matumaini yangu Hamjambo. Wale wenye matatizo mbalimbali nawaombea kwa Mwenyezimungu awaponye maradhi yao...

nimeona nianzishe uzi huu kwa lengo la kuwakutanisha wauguzi wakunga ambao tunatumia JAMII FORUM

KARIBUNI SANA TUBADILISHANE MAWAZO. UUGUZI NI WITO

NURSES ARE THE HEART OF HOSPITALS
 
Back
Top Bottom