True Story: Na hii ndio sababu kwanini situlii na demu mmoja

Good guys finish last.
Usiwalaumu wanawake, ujinga ulifanya wewe mwenyewe. Mtu kafukuzwa na mzazi wake kwa mimba isiyo yako, na alishakuletea dharau huko nyuma, halafu unampokea na kwenda kudanganya wazazi wako kwamba mimba ni yako !!!?
Bro hauna haja ya kuwachukia wanawake, jifunze tu kutokana na makosa yako. Next time ukiingia kwenye mahusiano usisite kuchukua maamuzi magumu au kumwonesha mwanamke kwamba unaweza kuchukua maamuzi magumu.
Wengine sisi hata kushirikishwa story kama hizo na ma-ex hakunaga.
Hujachelewa kujifunza.
Mawazo Mazuri Bro.
 
Mapenzi Hayana Formula So Ikitokea Issue Kama Hiyo Ni Kujipanga Upya Tu Siyo Kulalamika; Ushauri Wangu Wa Bure Kwa Wanaume Wenzangu Wote Tz,
.....SIYO KILA MWANAMKE UNAYEANZISHA NAYE MAHUSIANO UNAWEZA KUOA......BE CARE
 
jikubali wewe ni mjinga sana na bado unampenda huyo mwanamke ndio maana una hasira sana tena zile zisizoisha ndio maana umekuwa jogoo ukijimaliza mwenyewe ukidhani kuwa unamkomesha mpenzi wako wa zamani..... umejiloga mwenyewe.
 
Leo nimekuja kushare nanyi hii story ofcourse ni muda iko moyoni mwangu ila nimeamua kushare nanyi ili mjue kwa nini kila siku mimi mtu wa kubadilisha wasichana,

Ni hivi miaka Saba Nyuma wakati niko collage jijini dodoma nilikuwa na mahusiano na binti flani hivi alikuwa ni mzuri Aswaa ninaposema mzuri mjue namaanisha, alikuwa mweupe, mrefu flani hipsi na mteke mteke,

Alikuja pale collage kusoma kozi moja na mimi kweli ile siku ya kwanza tu kureport yeye alichelewa kidogo mi nilimuona na kumchangamkia mwisho wa siku tukabadilishana mawasiliano, jioni yake tukayajenga tukawa wapenzi,

Yule binti kwa kweli hakuwa amewahi kufanya mapenzi alikuwa ni bikra na mimi ndio nilikuwa mpenzi wake wa kwanza kushiriki nae tendo,
Mwanzo nilipanga tu niishi nae then nikimaliza niachane nae lakini sijui kwa nini nilitokea kumpenda sana yule binti,

Ninapozungumzia kupenda, ni kupenda kweli wakuu,ila kitu sikuwa najua ni kwamba sidhani kama yeye alikuwa ananipenda kweli au kupretend,
Semister ya kwanza ilivyoisha ndio nikaanza kuona mapicha picha unapiga simu hapokei, tuma text hajibu mambo yake ni kuforce force akitaka kitu, mwisho wa siku aliniambia tu yeye mwenyewe tena kwa meseji kavu kwamba Zero mi sikupendi tena,

Niliumia sana kiukweli kuuliza sababu nini hana ni vile ameamua,
Mawazo niliyokuwa nayo ni zaidi ya milioni sikuwa nakula ata nikila ni chakula kidogo tu, yaani sometime nilitamani ata kujiua ila nashukuru marafiki zangu walikuwa pamoja nami,

Siku zikapita tukamaliza chuo akarudi huko kwao bhana sijui kakutana na nani akapewa Mimba ikiwa na miezi 4 akanitafuta sijui namba yangu alipewa na nani, baba yake amemfukuza sijui hamtaki hana pa kwenda da aisee niliumia sana nilichofanya tu kwa kuwa nilikuwa nampenda kweli,nikampigia mzee nyumbani nikajipa msala nikamwambia mi nimemsababishia mimba mtoto wa watu na amefukuzwa kwao hana pa kwenda wazee wakasema tu nimpeleke kule watakaa nae,

Nilichofanya nikamtumia nauli akaja mpaka nilipo wakati huo nakaa kwa bro na nafanya kazi ya ufrelencer kusajiri laini za tigo, Airtel na Voda, yeye nikamchukua nikampeleka gest na kukaa siku 3,baada ya majadiliano tukaafikiana aende kwa dada yake aliyeolewa mkoa wa jirani na hiyo ni baada ya kuwasiliana nae nikampa nauli akaenda kufika kule kumbe ata sehemu ya kulala hamna wale walikuwa wamepanga ilibidi atafute chumba nikamtumia hela ya kodi,pamoja na ya kitanda na godoro,

Nilihudumia ile mimba mpaka ikafikia miezi 9 kasoro, kila kitu kuanzia kula mpaka vaa yake nilikuwa nagharamia, nilimnunulia Vifaa itajika vya kujifungulia vyote sijui mabeseni, mavitenge na vingine ata kabla ya siku ya kujifungua, ilivyofika miezi tisa mama yake ndio akamtafuta na kusema akajungulie kwao nikatuma nauli akaenda kwao,

Hakubahatika kujifungua kawaida ila kwa oparation na gharama zote nilitoa aisee haya mapenzi haya, yaani kamission yangu yote niliyokuwa napata kwenye kazi ilikuwa inaishia kwake,

Mtoto yule akakua japo homa za mara kwa marahadi alipofikisha miaka 3 kasoro yote nilikuwa nalea kama mwanangu, mwisho wa siku baba yake huyo mpenzi wangu akasema anamrudisha chuo akaendelee na level nyingine na chuo ni mkoa nilipo mimi,

Siku ikafika akatimba kama kawaida tukaendeleza penzi letu, baada ya miezi kadhaa kupita nikaanza kuona tena mabadiliko safari hii ni kwamba hakutafuti mpaka umtafute, sms anajibu short mnaweza kupanga apointment na asitokee bila sababu, ukimpiga simu akipokea unakuta anaongea huku yuko busy na marafiki zake Zero Nikajiongeza tu nikasema hapa deal litakuwa limeisha,

Nami nikakaa cool wiki hakunitafuta siku ananitafuta eti Mambo Nitumie hela ya kula, hakuna cha umeshindaje, aulize ata vipi mbona upo kimya hamna nilimjibu tu sina hela,

Maneno yaliyokuja hapo ni noma kila nikijitahidi nimuelekeze kwa busara wapi mwenzangu haelewi basi nikaona kama naforce mahusiano kwa mtu asiyenipenda mwisho akanitumia Sms kubwa eti sijui yuko busy hataki usumbufu, kama ni gharama zangu nilizotumia kwake atanilipa akimaliza chuo na kupata kazi sijui kama hako ka elfu kumi ninakomtumiaga ka kula baba yake ata handle kwani ana uwezo kama anaweza kumlipia ada ya mamilioni hiyo si kama chai tu, Kwa dharau(hayo maneno huwa nayakumbuka mpaka leo )

Ofcourse mimi kwetu hatukuwa na Uwezo,na ata chuo nilishindwa kuendelea na level nyingine kwa sababu mzee hakuwa na uwezo ila kitu alichokosa kukijua ni kwamba kila senti niliyokuwa nampa ni kati ya Asilimia 90 ya kipato changu kwa wakati ule nilijibana ili nimuhudumie yeye, kuna muda nilishindwa kujiwekea Akiba au ata kusaidia ndugu zangu kwa kumpa yeye kipaombele ila kwa maneno yake nilicheka huku moyoni nikipata maumivu makali kinyamaa,

Kiukweli tuliachana na Sikuchukua muda maumivu yale yakapona niliapa Mimi Zero IQ kamwe sitokuja tena kumpenda mwanamke wa aina yeyote thats why mnaona hivi,

Mabandiko yangu humu jukwaani kwa zaidi ya Asilimia 95% yana ukweli ndani yake,
Na Zero IQ mimi siamini mwanamke wa Aina yeyote nilishasema ata kuoa sijui kama nitakuja kuoa mimi ni kupiga na kusepa tu ata uwe mzuri vipi maybe hapo mbele naweza kuchange baada ya kufikia umri fulani ila sidhani.

Hiyo ndio story yenyewe wakuu.

Cc Zero IQ
Ukianzisha group lako la chapa ilale na mimi uniadd
 
Naona kama unatumia maumivu uliyo nayo kubadilisha wanawake wengine. I believe you can do better than that.
 
Mimi simlaumu hyo dada nakulaumu ww ambaye uliona hamna mapenz ila ukaforce na kibaya unakuta mtu unajipa matumaini labda atabadilika na visababu vya hapa na pale
Kingine n bora utafte mtu mwingine uwe na kanuni moja umpende anayekupenda asokupenda achana nae kiukwel unajikomoa mwenyewe huwakomoi hao wadada
 
mkuu nasikitika kukuambia hauna sehemu ya siri wewe ni heri uwe unatembea uchi kwa kuwa kufanya mapenzi na wanawake wengi ni kujidharilisha na si ujanja ni ufala huo....pia nasikitika kukuambia kuwa endapo ukaoa na ukapata watoto basi dhambi na laana ya zinaa ufanyayo wewe itakwenda kutafuna familia yako....pia acha kuchukua maamuzi ya ajabu baada ya kusalitiwa
 
Msaidie tu mkuu so mbaya
Kuna mama mmoja anapitia misukosuko katika mahusiano na jamaa yake, nilimpa ushauri kama huu huu ikafika hatua ananieleza kila kitu A - Z ya magumu anayopitia, me nazidi kumshauri na kumpa moyo asikate tamaa.

Juzi kanitumia ujumbe, namnukuu "please nakuomba nisaidie nawaka waka sijaguswa muda mrefu mno"!.
 
Zero IQ jiandae twende kwa mwanasaikologia, maana hii ndio mara ya kwanza walau umeandika mistari mitano. Pole sana sana kaka.
 
Hisia za mwanamke ni za kweli kabisa.
Maumivu aliyokupatia mwanzo kwa kukuacha solemba ilikuwa funzo kwako lkn ukafanya kosa.
Usiwe na huruma kwa mpenzi wako wa zamani alikutenda ukahisi atakuja kuwa kama mwanzo
Siku zote anaeondoka kwako na kukuacha si yule atakaerudi tena kwako na kwamba atakuwa mzuri zaidi kuliko mwanzo kamwe.
Usimwamini muongo hata kama akikuambia ukweli.
Pole sana
Leo nimekuja kushare nanyi hii story ofcourse ni muda iko moyoni mwangu ila nimeamua kushare nanyi ili mjue kwa nini kila siku mimi mtu wa kubadilisha wasichana,

Ni hivi miaka Saba Nyuma wakati niko collage jijini dodoma nilikuwa na mahusiano na binti flani hivi alikuwa ni mzuri Aswaa ninaposema mzuri mjue namaanisha, alikuwa mweupe, mrefu flani hipsi na mteke mteke,

Alikuja pale collage kusoma kozi moja na mimi kweli ile siku ya kwanza tu kureport yeye alichelewa kidogo mi nilimuona na kumchangamkia mwisho wa siku tukabadilishana mawasiliano, jioni yake tukayajenga tukawa wapenzi,

Yule binti kwa kweli hakuwa amewahi kufanya mapenzi alikuwa ni bikra na mimi ndio nilikuwa mpenzi wake wa kwanza kushiriki nae tendo,
Mwanzo nilipanga tu niishi nae then nikimaliza niachane nae lakini sijui kwa nini nilitokea kumpenda sana yule binti,

Ninapozungumzia kupenda, ni kupenda kweli wakuu,ila kitu sikuwa najua ni kwamba sidhani kama yeye alikuwa ananipenda kweli au kupretend,
Semister ya kwanza ilivyoisha ndio nikaanza kuona mapicha picha unapiga simu hapokei, tuma text hajibu mambo yake ni kuforce force akitaka kitu, mwisho wa siku aliniambia tu yeye mwenyewe tena kwa meseji kavu kwamba Zero mi sikupendi tena,

Niliumia sana kiukweli kuuliza sababu nini hana ni vile ameamua,
Mawazo niliyokuwa nayo ni zaidi ya milioni sikuwa nakula ata nikila ni chakula kidogo tu, yaani sometime nilitamani ata kujiua ila nashukuru marafiki zangu walikuwa pamoja nami,

Siku zikapita tukamaliza chuo akarudi huko kwao bhana sijui kakutana na nani akapewa Mimba ikiwa na miezi 4 akanitafuta sijui namba yangu alipewa na nani, baba yake amemfukuza sijui hamtaki hana pa kwenda da aisee niliumia sana nilichofanya tu kwa kuwa nilikuwa nampenda kweli,nikampigia mzee nyumbani nikajipa msala nikamwambia mi nimemsababishia mimba mtoto wa watu na amefukuzwa kwao hana pa kwenda wazee wakasema tu nimpeleke kule watakaa nae,

Nilichofanya nikamtumia nauli akaja mpaka nilipo wakati huo nakaa kwa bro na nafanya kazi ya ufrelencer kusajiri laini za tigo, Airtel na Voda, yeye nikamchukua nikampeleka gest na kukaa siku 3,baada ya majadiliano tukaafikiana aende kwa dada yake aliyeolewa mkoa wa jirani na hiyo ni baada ya kuwasiliana nae nikampa nauli akaenda kufika kule kumbe ata sehemu ya kulala hamna wale walikuwa wamepanga ilibidi atafute chumba nikamtumia hela ya kodi,pamoja na ya kitanda na godoro,

Nilihudumia ile mimba mpaka ikafikia miezi 9 kasoro, kila kitu kuanzia kula mpaka vaa yake nilikuwa nagharamia, nilimnunulia Vifaa itajika vya kujifungulia vyote sijui mabeseni, mavitenge na vingine ata kabla ya siku ya kujifungua, ilivyofika miezi tisa mama yake ndio akamtafuta na kusema akajungulie kwao nikatuma nauli akaenda kwao,

Hakubahatika kujifungua kawaida ila kwa oparation na gharama zote nilitoa aisee haya mapenzi haya, yaani kamission yangu yote niliyokuwa napata kwenye kazi ilikuwa inaishia kwake,

Mtoto yule akakua japo homa za mara kwa marahadi alipofikisha miaka 3 kasoro yote nilikuwa nalea kama mwanangu, mwisho wa siku baba yake huyo mpenzi wangu akasema anamrudisha chuo akaendelee na level nyingine na chuo ni mkoa nilipo mimi,

Siku ikafika akatimba kama kawaida tukaendeleza penzi letu, baada ya miezi kadhaa kupita nikaanza kuona tena mabadiliko safari hii ni kwamba hakutafuti mpaka umtafute, sms anajibu short mnaweza kupanga apointment na asitokee bila sababu, ukimpiga simu akipokea unakuta anaongea huku yuko busy na marafiki zake Zero Nikajiongeza tu nikasema hapa deal litakuwa limeisha,

Nami nikakaa cool wiki hakunitafuta siku ananitafuta eti Mambo Nitumie hela ya kula, hakuna cha umeshindaje, aulize ata vipi mbona upo kimya hamna nilimjibu tu sina hela,

Maneno yaliyokuja hapo ni noma kila nikijitahidi nimuelekeze kwa busara wapi mwenzangu haelewi basi nikaona kama naforce mahusiano kwa mtu asiyenipenda mwisho akanitumia Sms kubwa eti sijui yuko busy hataki usumbufu, kama ni gharama zangu nilizotumia kwake atanilipa akimaliza chuo na kupata kazi sijui kama hako ka elfu kumi ninakomtumiaga ka kula baba yake ata handle kwani ana uwezo kama anaweza kumlipia ada ya mamilioni hiyo si kama chai tu, Kwa dharau(hayo maneno huwa nayakumbuka mpaka leo )

Ofcourse mimi kwetu hatukuwa na Uwezo,na ata chuo nilishindwa kuendelea na level nyingine kwa sababu mzee hakuwa na uwezo ila kitu alichokosa kukijua ni kwamba kila senti niliyokuwa nampa ni kati ya Asilimia 90 ya kipato changu kwa wakati ule nilijibana ili nimuhudumie yeye, kuna muda nilishindwa kujiwekea Akiba au ata kusaidia ndugu zangu kwa kumpa yeye kipaombele ila kwa maneno yake nilicheka huku moyoni nikipata maumivu makali kinyamaa,

Kiukweli tuliachana na Sikuchukua muda maumivu yale yakapona niliapa Mimi Zero IQ kamwe sitokuja tena kumpenda mwanamke wa aina yeyote thats why mnaona hivi,

Mabandiko yangu humu jukwaani kwa zaidi ya Asilimia 95% yana ukweli ndani yake,
Na Zero IQ mimi siamini mwanamke wa Aina yeyote nilishasema ata kuoa sijui kama nitakuja kuoa mimi ni kupiga na kusepa tu ata uwe mzuri vipi maybe hapo mbele naweza kuchange baada ya kufikia umri fulani ila sidhani.

Hiyo ndio story yenyewe wakuu.

Cc Zero IQ
 
Hawakawii kuzeeka km ulikuwa naye chuo mlilingana kiumri, akakulingia but wao wanachakaa mapema sana usiogope?

Tafuta chuma zaidi yake.

kosa ulilofanya kumuacha bila mtoto, ungeweka chapa yako mzee faster hasa aliporudi mara ya pili.

sababu ulimpenda dawa ni kumpa zawadi ya mtoto, afu we ndo uanze kulinga, akutafute.

Ebu nikuulize hana wadogo zake wa kike?
 
Hisia za mwanamke ni za kweli kabisa.
Maumivu aliyokupatia mwanzo kwa kukuacha solemba ilikuwa funzo kwako lkn ukafanya kosa.
Usiwe na huruma kwa mpenzi wako wa zamani alikutenda ukahisi atakuja kuwa kama mwanzo
Siku zote anaeondoka kwako na kukuacha si yule atakaerudi tena kwako na kwamba atakuwa mzuri zaidi kuliko mwanzo kamwe.
Usimwamini muongo hata kama akikuambia ukweli.
Pole sana
Weeee bwana wee mapenzi ni kitu kingine usiseme! alikuwa sahihi kurudi! si ajabu akamkubalia tena

mara ya tatu. '' uongo zero iQ?''

Mapenzi hayanaga jemadari baba mkuu, wala Rais, hata uwe Dikteta vipi pale bana napaheshimu sana.

kama huniamini muulize mnadhili Samson jamaa yake Derila.

Samsoni alijifanya mgumuuu! akabania siriii, mwishowe aliachia mwenyewe, baada ya kuhomola mbunya

cha msingi uwe makini tu.
 
USHAURI WA BURE KWA WANA MAPENZI SOCIETIES;

Usithubutu, Kamwe eti na wewe umsumbue mtu na mtu mwingine, km ulivyo fanyiwa mabaya na mpenzi wako'

Walah! nakwambia utaja rogwa wewe mpaka uitike bee! kwa kila mwanamke unaye kutana naye.

Binadamu wako tofauti kwa jinsi wanavyochukulia mambo, inasemekana zero IQ hana uchawi wa kuzaliwa, angemloga tu ili arudi kama anayosema ni kweli.

Mdada kakataliwa penzi na njemba, akaroga vitanda na makabati kila mwanamke anaye lala pale hazai, akienda kwingine mwanamke anapata mimba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom