Recent content by mfyayukulela

  1. mfyayukulela

    Mapenzi yanauma jamani

    Bahati mbaya siku hizi wanawake wengi hawajali mapenzi wapo busy na ngono hivyo hawana hisia na hawaumii. Jaribu kusikiliza tungo nyingi za siku hizi za vijana utaona hilo. Pole
  2. mfyayukulela

    Tuambie jina lako la Burundi unaitwa nani?

    Umezaliwa upya Burundi?
  3. mfyayukulela

    Ole Sabaya asomewa Mashtaka Sita (6) kwa Uovu aliotenda Hai. Aenda Rumande hadi Juni 18

    Wakati wengine wanaangalia uhalifu wa sabaya wewe unaangalia matumizi ya kiswahili.[emoji17]
  4. mfyayukulela

    Aliyetunga sheria za hoteli, motel, lodge, guest aliwaza nini

    Hiyo ni private contract yako na mwenye lodge unataka public ikusaiduaje? Pambana ndugu.
  5. mfyayukulela

    BASATA, Ney wa Mitego afungiwe miaka mitatu na wimbo wake wa “Kwa Mpalange”

    Huu ni muendelezo wa nyimbo za hovyo. Ila inaonyesha ndiyo muelekeo wa soko. Wateja wamegeuka kutoka kuhijtaji nyimbo za mapenzi na kuhitaji nyimbo za ngono. So sad.
  6. mfyayukulela

    Hivi ni kweli Mungu hana upendeleo?

    Uumbaji wa Mungu ni wa mipango. Mungu anaiangalia dunia kama super structure na kila mmoja amempa nafasi yake. Ukikubali nafasi aliyokupa kama mdau ktk dunia na kuitimiza kwa upendo huta jiuliza kwa nini mwingine ni Raisi, Doctor, pastor, mfanyakazi wa ndani, muosha maiti. etc. Fulfil God...
  7. mfyayukulela

    Leo nilikuwa nipeleke barua ya posa ila nilivyofika chuo cha Ushirika Moshi nimeingia mitini

    Atumie tena kwa usahihi. Asije akijikuta anatembelea ringi.[emoji4]
  8. mfyayukulela

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Ndiyo wanavyodai corona imesababisha ukosekanaji wa vifaa.
  9. mfyayukulela

    Shukurani Hospital ya Regency, wengine waige mfano wake kutoa TIBA

    Mimi pia waliokoa maisha yangu baada ya kupata maleria kali iliyopelekea kuanza kufelisha viungo muhimu kama figo na kongosho. Mungu awabariki
  10. mfyayukulela

    Hivi kwanini ukiishiwa hela, baadhi ya watu wa karibu wanakucheka, na kukukejeli waziwazi na kisirisiri

    Kawaida kwa binadamu mafanikio ya mwingine ni bad news na maanguko ya mwingine ni good news.
  11. mfyayukulela

    Mbona matajiri hawavai vizuri, hawapendi kula bata na wakati hela wanazo?

    Matajiri wanaojielewa wanajua niniwanachohitaji kwenye bidhaa. Kwenye bidhaa kuna vitu viwili muhimu. Kiini cha bidhaa na bidhaa yenyewe. Mfano nguo kiini cha bidhaa ni kujisutiri na bidhaa halisi ni vitambaa vilivyounganishwa mtu aweze kujisitiri. Hivyo matajiri huangalia kiini cha bidhaa yaani...
  12. mfyayukulela

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Dawasa Tabata nimeleta form za maombi ya maji nikaambia surveyor atakuja ndani ya wiki moja. Wiki ya pili sasa hamjafika. Kama survey tu wiki mbili kuubganishiwa maji si itakuwa miaka miwili.?
  13. mfyayukulela

    Kabila la Wanyakyusa wanaongoza kwa matatizo ya kifamilia

    Hii nafikiri ni theory unaongelea. Hawa watu tuko nao huku mijini hizo institution zilikuwepo zamani huko vijijini. Upo nae huku mjini analeta visasi unampeleka kikao gani cha clan elders.
  14. mfyayukulela

    Kabila la Wanyakyusa wanaongoza kwa matatizo ya kifamilia

    Sasa nimejua kwa nini mke wangu mbishi.
Back
Top Bottom