Recent content by mfwimijr

  1. mfwimijr

    TUPO TAYARI KUKUHUDUMIA

    1. Usajili wa Kampuni 2. Usajili wa Majina ya Biashara 3. Kuhuisha Taarifa za Kampuni zilizosajiliwa kabla ya 2018. 4. Upatikanaji wa leseni na vibali mbalimbali. 5. Kufanya Filling ya Annual Return za Brela. 6. Ushauri wa kikodi, upatikanaji wa TIN za Biashara, Tax Clearance n.k 7. Makadirio ya...
  2. mfwimijr

    Tunataraji kuzindua kampuni yetu mpya ijulikanayo kwa jina la Lisah Security Systems

    1. Usajili wa Kampuni 2. Usajili wa Majina ya Biashara 3. Kuhuisha Taarifa za Kampuni zilizosajiliwa kabla ya 2018. 4. Upatikanaji wa leseni na vibali mbalimbali. 5. Kufanya Filling ya Annual Return za Brela. 6. Ushauri wa kikodi, upatikanaji wa TIN za Biashara, Tax Clearance n.k 7. Makadirio ya...
  3. mfwimijr

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    1. Usajili wa Kampuni 2. Usajili wa Majina ya Biashara 3. Kuhuisha Taarifa za Kampuni zilizosajiliwa kabla ya 2018. 4. Upatikanaji wa leseni na vibali mbalimbali. 5. Kufanya Filling ya Annual Return za Brela. 6. Ushauri wa kikodi, upatikanaji wa TIN za Biashara, Tax Clearance n.k 7. Makadirio ya...
  4. mfwimijr

    SAJILI NASI

    KARIBU TUKUHUDUMIE 1. Usajili wa Kampuni 2. Usajili wa Majina ya Biashara 3. Kuhuisha Taarifa za Kampuni zilizosajiliwa kabla ya 2018. 4. Upatikanaji wa leseni na vibali mbalimbali. 5. Kufanya Filling ya Annual Return za Brela. 6. Ushauri wa kikodi, upatikanaji wa TIN za Biashara, Tax Clearance...
  5. mfwimijr

    Ofisi ya Kata wanashirikiana na baba yangu mzazi kuninyima haki yangu ya mali

    Ukisikia udumavu wa akili ni pamoja na huu, nampongeza baba yako Kwa kuamua kula pesa yake mapema. Alipambana kujiwekezea Leo mwache ale mwenyewe. Kimsingi huna haki ya kupewa mgao maana wewe siyo share holder wa hiyo nyumba. Siamini kama UDSM-UDBS wanaweza kuzalisha wahitimu wasiojitambua kama...
  6. mfwimijr

    Msaada mwepesi na waharaka wa kubadili TIN namba isiyokuwa ya kibiashara kwenda ya kibiashara

    Hao wanatengeneza mazingira ya rushwa, Mimi nilibadili kutoka Iringa kuja Mkoa wa kikodi Ilala bila kwenda Iringa, nilijaza fomu pale Vingunguti ya kuhamisha Tin kutoka Iringa kuja Ilala baada ya wiki moja ikahamishwa taratibu za kubadili matumizi zikaendelea.
  7. mfwimijr

    Je unatamani kuja kutafuta maisha dodoma Jiandae na Bei hizi za Pango ya Nyumba

    Bei bado rafiki tu, tatizo vijana wanapenda kubweteka na kupenda mtelezo. Ishi kulingana na kipato chako
  8. mfwimijr

    Arusha: Askari SUMA JKT wakamatwa kwa tuhuma za mauaji

    Walinzi wa SUMA JKT ni matatizo, wana stress nyingi hadi kufikia hatua kujiona wana maamuzi ya kujichukulia sheria mkononi. Tatizo mfumo uliwabeba sana sasa unawatema
  9. mfwimijr

    Kafulila amjibu Zitto; Rais Magufuli yupo mstari sahihi Sekta ya Madini

    Katika hali ya kawaida Tumbili lazima amtetee bosi wake ili kulinda kibarua chake. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mfwimijr

    Office Secretary anahitajika

    Kampuni ya NGE Security Limited inapenda kutangaza nafasi ya kazi ya Office Secretary. Mwombaji awe mhitimu wa Stashada au Astashada katika fani ya Uhudumu na Usimamizi wa Ofisi, mwenye ujuzi wa kutumia kompyuta, uwezo wa kutunza na kihifadhi kumbukumbu, kufanya kazi pasipo kusimamiwa, kupokea...
  11. mfwimijr

    Uchaguzi serikali za mitaa: Ambao hatujajiandikisha na hatuna mpango wa kujiandikisha tukutane hapa

    Matokeo yanajulikana kwa hiyo kwenda kujiandikisha Ni kupoteza muda tu
  12. mfwimijr

    Kwanini Wanaume siku hizi wanapenda wanawake wenye WOWOWO?

    Mbona mi nakupenda wewe hata kama huna tako Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mfwimijr

    SGR wajenzi wa Ureno wamepotelea wapi?

    Kwa hiyo containers zinazoishia kibaha, Chalinze au bagamoyo huoni kama watakuwa wameongezewa gharama? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom