Office Secretary anahitajika

mfwimijr

JF-Expert Member
Dec 11, 2014
203
152
Kampuni ya NGE Security Limited inapenda kutangaza nafasi ya kazi ya Office Secretary. Mwombaji awe mhitimu wa Stashada au Astashada katika fani ya Uhudumu na Usimamizi wa Ofisi, mwenye ujuzi wa kutumia kompyuta, uwezo wa kutunza na kihifadhi kumbukumbu, kufanya kazi pasipo kusimamiwa, kupokea wageni.

Mwombaji awasilishe maombi yake kupitia acngescurity@gmail.com au afike ofisini Chang'ombe mtaa wa Bora barabara ya Mazongera nyumba namba 9.

Kwa mawasiliano zaidi 0684 969 346.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom