Recent content by mfwandilo

  1. mfwandilo

    Historia ya Lucifer

    [emoji3][emoji3][emoji3]ingekuwa wewe ndio umetoa uzi basi ningeenda kukomaa na hizo wikipedia sasa hivi lakini mtoa mada amesisitiza zaidi ya mara moja kwenye uzi kuwa hizo elimu haizpatikani popote na ndio maana watu wakimuomba reference anakuwa mkali. Wewe unacho kifanya kinamake sense japo...
  2. mfwandilo

    Marekani yaombwa kuiondolea Zimbabwe vikwazo

    1. Hao uliwataja au viongozi wa africa kwa ujumla wanatofauti gani na hao weupe? Mbona mzee jakaya amekuwa akisuluhisha migogoro mingi tu wakati alipokuwa mwenyekiti wa AU? Je, hakuna viongozi wa mfano huo walioko katika nchiz nyingine za africa? 2. Mkuu sijapingana na kuwepo demokrasia lakini...
  3. mfwandilo

    Marekani yaombwa kuiondolea Zimbabwe vikwazo

    Je ni kweli viongozi wetu wote ni waasi kama wanavyo sema hao wazungu? Je kwao kuna usafi mkubwa kama wanao uhubiri upatikane huku? Swali la mwisho, je baada ya hao wazungu kufanikiwa kuwaondoa hao watawala wetu hali inabakije kwa wewe mwananchi wa kawaida?
  4. mfwandilo

    Historia ya Lucifer

    Mwenzio hapo juu ametuambia kuwa hizi elimu zinatubrainwash ubongo na zimejaa upotoshaji tena akaongeza kuwa elimu hiyo munayo zungumzia haiwezi kupatikana mahala popote[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe unasema niende wikipedia hiyo hiyo iliyo tengenezwa na watu wanao taka...
  5. mfwandilo

    Marekani yaombwa kuiondolea Zimbabwe vikwazo

    Kwa mtazamo wa kisasi unaweza kuwa sahihi kwa 30%! Lakini je nani adui yako mkubwa kati ya wazungu na hao viongozi wa africa? Je ni sahihi kwako ukaukabidhi ugomvi wa familia ukawa unatatuliwa na jirani ambae una uhakika hana upendo na familia yako? Je wao wakiwa na tofauti zao (utawala wa...
  6. mfwandilo

    Historia ya Lucifer

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyie jamaa[emoji1787][emoji1787]
  7. mfwandilo

    Historia ya Lucifer

    Jaribuni kushibisha haya maoni yenu kwa kuandika hata reference ya vitabu mlivyo soma. Kila mtu anasema nimechimba nimechimba hivyo vitabu mlivyo chimba si muviweke hapa na sisi tujiridhishe na waandishi pamoja na kilicho andikwa
  8. mfwandilo

    Marekani yaombwa kuiondolea Zimbabwe vikwazo

    Unafurahi kwa sababu wazungu wanatenda haki au unafurahi kwa sababu ya kisasi dhidi ya hao viongozi wa kiafrica?
  9. mfwandilo

    Marekani yaombwa kuiondolea Zimbabwe vikwazo

    Ila ni sawa na unabariki kwa wazungu kuja kuua watu wa mataifa wengine kwa ajili ya kujenga nchi zao?
  10. mfwandilo

    Marekani yaombwa kuiondolea Zimbabwe vikwazo

    Maelezo mazuri japo hao wazungu wamejaa unafiki mkubwa na kujitahidi kupenyeza mawazo hasi juu ya viongozi wanao kwenda kinyume nao. Kwanini hawaendi kumdhibiti north korea? Kwanini hawakwendi kudhibiti jamhuri ya watu wa china wakati aina ya utawala wa kiafrika unafanana sana na utawala wa watu...
  11. mfwandilo

    Historia ya Lucifer

    Sasa nyie munaelewaje wakati binadamu wa kawaida hawezi kuelewa?
  12. mfwandilo

    Historia ya Lucifer

    kitu pekee kinacho eleweka hapo ni kwamba umetumia lugha ya kiswahili hamna kingine kinaeleweka mkuu.
  13. mfwandilo

    January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

    Rudia kusoma ulicho andika halafu linganisha na mada ilivyo tolewa
  14. mfwandilo

    ATCL yatakiwa irejeshe Serikalini Tsh bilioni 896 ilizopewa kama ruzuku bila kufuata utaratibu

    After all ije ihitimishwe kuwa hakuna zuri lilifanyika[emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom