Kweli usolijua ni kama usiku wa giza, hiyo miradi ya JPM ingekamilika akiwepo ndo mngemjua vizuri msukuma vile anapenda sifa, wafanyakazi wasingetamani aondoke madarakani, tulikuwa tumeshazoea sisi wenye akili, huwezi pingana na mabepari wakakupenda hivyo hata angesema akope pesa alipe mishahara...
Inafanana na ya jeshi la wanyamapoli na nadhani hii ndo ilipelekea mkuu wao kuonya watu wanaovaa mavazi yanayofanana na uniform zao, bila shaka alikuwa akimuonya Bashe.
Kwa uadilifu (integrity) upi alokuwa nao? au unadhani hayo mambo ni kama mnavyodanganyana mitandaoni!!!????...huna ukijuacho, hayo mambo hayahitaji ushabiki, kamuulize Mbowe kwanza kwa nini aliomba msamaha wakati hajatenda yale makosa kama mlivyoaminishwa.
Hatari kwelikweli wapi kwa kosa lile alitakiwa kufungiwa maisha, walianza kwa kupunguza adhabu ya wale maafisa wa Mbeya Kwanza ili Haji akipewa adhabu ndogo watu wasihoji na hapo watamwambia akate rufaa ili upunguzwe zaidi.
Hahahaaaa....hamtokaa msahau maishani mwenu vile "mshamba" aliwanyoosha na hatoki mioyoni mwa watanzania licha ya matusi na dhihaka za nyie mash..oga, mafisadi na vibaraka wa mabepari kila kukicha.
Ni ADC wa zamani sio wa sasa hivyo lazima alikuwa keshapanda vyeo, mala nyingi ADC anakuwa kanali, akipandishwa cheo anakuwa Brigadier general na hapo kwa hekma tu hapashwi kuwa ADC hivyo ADC mpya huteuliwa.
Nimepigwa za uso, nimefika nikawakabidhi magamba yangu acha waanze kutafuta jina, walikuwa kama sita hivi mie nawacheki tu, wanauliza ka nimeona jina langu kwa mtandao nikawajibu sinauhakika sana sababu najua maelekezo ya NBS ni majina yabandikwe katani na huko kwa ofisi za kata hayapo, kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.