Recent content by MFUKUZI

  1. MFUKUZI

    Haiwezekani mtu mmoja kumiliki hisa 49% - Mwakyembe

    Hii ni njama kuihujumu simba. Waziri kaongea leo ili kesho KILOMONI apate nguvu ya kusemea. Hatutakubali
  2. MFUKUZI

    Kwa Hili la 49% Mwakyembe apingwe kila kona

    Kwanza niseme Mimi ni Simba lialia ila tamko la leo la Waziri Mwakyembe limenifanya nitafakari sana na kurudisha kumbukumbu zangu nyuma. Ikapelekea kuunganisha dots kwa matukio ya kukwamisha maendeleo ya Simba tangu wazo la kubadili mfumo wa uendeshaji wa club hii Mwanzo kabisa MO alipotaka...
  3. MFUKUZI

    Rais Magufuli, tafadhali mtumbue Harrison Mwakyembe, wizara upande wa michezo imemshinda

    Tumpe siku tatu arekebishe kauli yake.. asipofanya hivyo mechi ya kesho kutwa Stars dhidi ya Kenya tumuonyeshe nguvu yetu. Hizi ni hujuma dhidi ya Simba. Na kesho KILOMONI atajifanya anamuunga mkono Waziri ili watuletee mgogoro
  4. MFUKUZI

    Haiwezekani mtu mmoja kumiliki hisa 49% - Mwakyembe

    Sasa naona hujuma za wazi!! Kuna watu wanataka MO ajiondoe ili Simba irudi ilipotoka. Niombe wanasimba na wanamichezo wote tusikubali suala hili. Wasiturudishe nyuma! Mbona mashirika mengi ya serikali yaliuzwa kwa asilimia 100. Leo kwenye club ambazo serikali haijawekeza hata cent inataka...
  5. MFUKUZI

    Jerry Muro amtukana mwandishi wa habari mwanamke

    Huwezi ukajichagulia swali la kujibu... Jerry kakosea sana!!.. Swali ni la msingi sana. Kila mtu anajua Yanga imeingia 8 bora ya CAF ambapo inaanza mwezi huu. Kocha ambaye ndiye Team Manager mnampa likizo ya mapumziko akaungane na familia yake!!!!.. Team isipoandaliwa vizuri na kutolewa kwenye...
  6. MFUKUZI

    Mbowe na Zitto Acheni upotoshaji: Siasa za ramli hazina nafasi

    Hakuna raha kama kutupa jiwe gizani...!!!!
  7. MFUKUZI

    Natafuta internship(tempo)

    DOGO WEKA KAZI ULIZOWAHIFANYA TUZIONE ILI TUAMINI KWELI UNAJUA!!!
  8. MFUKUZI

    Tunapompongeza Samatta, tusisahau kuipongeza Simba SC

    Mimi ni miongoni mwa wapenzi wengi wa soka waliokuwa na furaha kubwa baada ya Mbwana Samatta kutangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Afrika wa Ndani.. Kwa kweli bila kutambua na kupongeza jitihada binafsi alizozifanya hadi kufikia hapo alipo basi utakuwa na chuki tu ambazo hazitamzuia yeye kuendelea...
  9. MFUKUZI

    GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Wewe usiwe kiazi.. Wapigakura ni walewale na vituo ni vilevile!! Kama haki na taratibu zilikiukwa kwa Wazanzibar wakati wa zoezi la kupiga kura huwezi ukasema kwa kura za Muungano zilikuwa sahihi na kura za Zanzibar zilikuwa na kasoro!!! Labda walazimishe tu lakini kwa lugha laini na isiyo na...
  10. MFUKUZI

    Kwa hesabu hizi, chama cha CUF kinaelekea kutoa KUB

    Ugomvi wa nini wakati kila kitu kipo kisheria.... Anayetambulika TUME ya UCHAGUZI ni CHADEMA.. Kwa hiyo kama CUF Watataka kugawiwa itawalazimu wanachama wao wajiunge na CHADEMA kama ilivyo kwa Duni Haji alivyolazimika kuhamia CHADEMA ili awe Mgombea Mwenza..!!
  11. MFUKUZI

    Edward Lowassa azungumza na vyombo vya habari, Ailaumu NEC kutoa matokeo yanayompendelea Magufuli

    Usitake kuwapa watu matumaini ambayo hayapo... Kama ni goli la mkono limeshafungwa so kinachoendelea NEC ni kuhalalisha..!! Wito kwa UKAWA ni bora wajumrishe kura zao mapema na waseme wamepata ngapi.. kuliko kusubiri huku MACCM yakijipanga kuachiana vijiti!!!
  12. MFUKUZI

    GE2015 Operesheni Zinduka: Uamuzi Sahihi 2015

    Mzee Mwanakijiji kwanza nikupe pole kwa kutumia muda, nguvu na akili katika kutuletea andiko ambalo hata wewe mwenyewe unajua halina tafakuri ya kutosha.. Kwa taarifa yako siku zote Majeshi huandaliwa wakati wa amani... Ikifika wakati wa vita ni kusongesha majeshi mbele na kupiga. Hushindi na...
  13. MFUKUZI

    Tuwe wakweli ni jimbo gani CHADEMA itajivunia kuleta mabadiliko?

    Hivi nyie vijana wa Lumumba ndo tuseme akili zimehamia kwenye makalio....? Hivi kazi za Mbunge na Serikali kwa mujibu wa Katiba mnazitambua? Ukishalipwa buku 7,, unarukwa na akili kiasi hicho..!! Mwaka huu ni Mabadiliko - Lowassa.... Lowassa - Mabadiliko
  14. MFUKUZI

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Hizi mbinu za ccm kununua wapinzani na kuwalipa fedha nyingi... wananchi tumeshaigundua siku nyingi.. Leo DR. Slaa kaniongezea hasira ya kuichukia CCM.. Mwaka huu ni MABADILIKO NOTHING ELSE
  15. MFUKUZI

    Mjumbe wa CCM akamatwa akiandikisha namba za Vitambulisho vya wapiga kura

    Hapo wanachotafuta kura za kununua.. kwanza wanataka kupata uhakika wa mtu ambaye watamnunua anakadi ya mpiga kura na pia wanachukua namba ya simu ili waanze kumbembeleza aidha awapigie kura na wakimwona mbishi basi wainunue kadi ili asipate fursa ya kwenda kupiga kura..
Back
Top Bottom