muggyen
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 347
- 253
Habari zenu jf
Mimi ni kijana wa kiume nimaliza form six mwaka huu nasubiri matokeo.Nina utaalam kiasi kwenye masuala ya computer hasa kwenye field ya graphics designing.Nina uwezo mzuri wa kutumia Adobe photoshop,InDesign na illustrator.Natafuta tempo ama internship kwenye field ya graphics designing au any other related field kwa ajili ya kuongeza ujuzi wangu na pia kupata walau kaallowance.Natanguliza shukrani.
Twaweza wasiliana kupitia whats app
0715 586 612
Kwa call na sms 0625 849 322