Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Igwe wanaJF!
Baada ya baadhi ya wabunge kula "Ban" bungeni kwa kukiuka kanuni za Bunge,kumetokea upotoshaji mkubwa kwenye media kutoka kwa Zitto Kabwe ambaye kala "ban" na KUB Mbowe.Maoni yao yamejikita katika siasa za ramli na kuhisia hisia kitu ambacho kimeonyesha aina mpya umbumbumbu katika siasa.
Zitto amekaririwa akisema eti "Rais Magufuli ndiye kateua viongozi wa bunge"..huu ni upumbavu,CCM imeshinda Urais na kupata majimbo takriban 190,CHADEMA 35,NCCR 1,ACT 1,CUF 27+ katika mazingira haya CCM hailazimiki kukubaliana na Chama chochote kuteua Waziri mkuu,Spika na Naibu Spika,Baraza la Mawaziri kama ambavyo ACT ilivyoshinda halmashauri ya Kigoma Ujiji Zitto na wenzako mmeteua Meya na Naibu meya na kuongoza kamati mbona hulalamiki?.Nakukumbusha tu kila mchezo una kanuni!,huwezi kuamka asubuhi na kwenda Bungeni kufanya utakalo ili washabiki wako wakuone.Kwa hili jirekebishe!
Mbowe na akaendelea kuonyesha umbumbumbu eti "Naibu spika hafai sababu hajachaguliwa na wananchi jimboni"..aliongea huku amekaza shingo,yeye kama KUB analeta ujumbe kuwa Wabunge wote wa viti maalum,wateule wa Rais hawafai ikiwamo wa CHADEMA ambao wamo takriban 30+ ,Inawezekana amesema hivi alizingatia jinsi mchakato wa kupata viti maalum CHADEMA mara hii ulivyozua mzozo inasemekana wengi ni "Mababy" wa viongozi wa chama.Mbowe ameshindwa kuwapa uongozi wabunge wa Viti maalum kwenye kamati kumbe anajua kwa CHADEMA viti maalum lazima wawe "mahawara","wake" nk na hazingatii weledi.
Pia kumbukeni mmetangaza kugomea vikao vitakavyoongozwa na Dr.Tulia hadi 2020 nasubiri utekelezaji.
Ninawashauri Mbowe na Zitto msikimbilie media kabla kupanga nini mnaongea. Jifunzeni kuweka akiba ya maneno.
Nawasilisha.