MFUKUZI
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 933
- 699
Kwanza niseme Mimi ni Simba lialia ila tamko la leo la Waziri Mwakyembe limenifanya nitafakari sana na kurudisha kumbukumbu zangu nyuma. Ikapelekea kuunganisha dots kwa matukio ya kukwamisha maendeleo ya Simba tangu wazo la kubadili mfumo wa uendeshaji wa club hii
Mwanzo kabisa MO alipotaka asilimia 50 akawekewa kigingi na serikali kutoa maelekezo ya asilimia 49.
Pili figisu za viongozi wa Simba kuwekwa ndani na mchakato wa katiba kicheleweshwa.
Tatu kuibuliwa kwa wazee kama Kilomani kupinga maamuzi halali ya vikao.
Leo Waziri anakuja na tukio jingine la kuturudisha nyuma.
Niseme hivi, kwa tamko la leo tumwombe Waziri afute kauli yake la sivyo ni yeye ndo anayemtuma Mzee Kilomani na anayekuja kulipua bomu kama si kesho ili kurudisha mafanikio ya Simba nyuma.
Niwaombe wanasimba wote tusikubali Waziri huyu kuturudisha nyuma. Popote atakapoonekana tumpinge na kumwonyesha nguvu yetu.
Wanasimba tuliamua namna ya uendeshaji wa timu yetu. Mbona serikali haojajiwekea hizo asilimia kwenye mashirika yake. Kuna mashirika yaliuzwa bure kwa asilia 100 bila hata cent serikali kupata.
Asitufanye tulichukie soka la bongo. Maamuzi ya Waziri yataathiri mechi za Taifa stars hususan mechi ya kesho kutwa dhidi ya Kenya.
Naomba ajitokeze na afute agizo lake