Ni kujivisha mamlaka yasiyo yao, polisi hana mamlaka ya kusema tumekamata mwizi au kibaka au jambazi hata wakikuta anaiba. Chombo pekee chenye mamlaka hayo ni Mahakama kupitia hukumu zake, na katiba inatambua kuwa mtu atahesabika hana kosa mpaka pale itakapodhibitishwa na mahakama.
Sent using...
Ni wazi lazima kumshukuru Rais kwa kile alichofanya kwa kijana huyu aliyekuwa amebambikwa kesi.
Palepale mmeona Kamanda Msangi anasema walikuwa wameshatuma afisa mkuu lakini ukweli ni kwamba hata wangejua ukweli lazima wangeficha ficha.
Kuna muda uwa nawaza ifike muda haya mambo ya tumeua...
Nadhani mmejionea watanzania tulivo, mtu anapotoa mada kama hizi zenye kuhitaji umakini ktk ujibuji,zenye kuhitaji weledi na kukosoa palipo kosea lkn utaona mtu anaanza matusi,kejeli kumwona mwenzie si chochote,
Sheria ni taaluma ambayo uhitaji mtu kuwa ktk trend ya usomaji wa sheria, sheria uwa...
Ktk jinai kama hujui
1. Principal offender
2. Accessory before the fact
3. Accessory after the fact
Utashangaa sana kwanini huyo mmiliki kaunganisha ktk hiyo kesi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili yako ya mende unadhani yameisha? Na ni kweli alidhurumu MANA nyie hamueleweki, na mamlaka ya kupiga hao bodaboda walitoa wapi? Je nao wakipigwa watalalama?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.