Umenena nakubaliana nawe coz katika maisha ya kawaida wadada au wanawake wanao vaa nusu uchi wanasababisha wanaume kupoteza hisia coz anakua kaona karibu maungo yote.Naunga mkono.
kuna uwezekano mkubwa kwa mgandamizo wa hewa ndo chanzo cha kutokea viumbe 2kiwemo binadamu e.g kwenye vidole ukiva soksi zenye maji na uvae vi2 kwa masaa kaza kutakua na bacteria kutokana na joto.So naunga mkono mada
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.