Recent content by mfereji

  1. M

    Nimetukaniwa Mzazi wangu kwa SMS, Naombeni Muongozo!

    Mkuu, Kutukana au kutumia lugha ya matusi inayoweza kusababisha uvunjifu wa amani ni kosa la jinai kufuatana na Penal Code Act, Cap. 16 ya Sheria za Tanzania. Kifungu cha 89 kinasema ifuatavyo: Section 89. (1) Any person who– (a) uses obscene, abusive or insulting language to...
  2. M

    Labour rules and regulations

    Mkuu Soft copy ya kiingereza haipatikani. Naambatisha hii ya Kiswahili.
  3. M

    Mtaalam wa kubadilisha gari

    Wanajamii, Nina rafiki yangu amepata ajali na kupooza miguu yote. Anaomba kama kuna mtu anajua au anajua fundi anayeweza kumodify gari yake ili aweze kuiendesha kwa kutumia mikono-yaani breki na accelerator ziwe controlled kwa mikono. Gari yake ni automatic. Anaomba sana kwani anashindwa...
  4. M

    Nitawezaje Kubadili gari ili iweze kuendeshwa bila kutumia miguu

    Wanajamii, Naomba msaada. Rafiki yangu amepata ajali na kupooza miguu yote hivyo kutoweza kuendesha gari. Naomba kama kuna mtu anayeweza au anajua mtu anayeweza kumodify gari yake ili aweze kuiendesha kwa kutumia mikono badala ya miguu aniarifu. Gari yake ni aina ya Toyota, saloon na ni...
  5. M

    Wenye magari jihadhari na Camel-Oil Tabata Sanene

    Ni kweli ni wachakachuaji wakubwa. Hata kituo chao kilichopo Kibamba, Njia Panda Shule, wanachakachua sana. Mchungaji wa kanisa langu aliweka mafuta hapo na gari ilizima palepale kituoni. Hali ni mbaya. EWURA ifuatilie mchezo huu mchafu.
  6. M

    Naomba msaada wa kisheria nimepewa NOTICE na mwenye nyumba wangu

    Marekebisho ya Sheria ya Ardhi ya 1999 yaliyofanywa 2005 yanasema hivi: Mwenye nyumba anapaswa kutoa notisi ya siku 30 kuhama. Uwe na mkataba au la notisi ni siku 30. Kama hukufanya kosa lolote anapaswa kukurudishia sehemu ya kodi ambayo imebakia. Hata hivyo kama hukufanya kosa ni lazima awe na...
  7. M

    Bunge Kutumia zaidi ya MILIONI 500 kutengeneza FIMBO..

    Katika Rasimu ya Kanuni za bunge la Katiba iliyowasilishwa, imependekezwa kuwepo na SIWA mbili moja itakayokuwa ya dhahabu na uzito wa kilo nne na ya pili ya rangi ya fedha (silver). Gharama ya SIWA hiyo ya dhahabu inakadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 400! Nashauri kuachana...
  8. M

    Museveni responds to Obama on anti-gay bill

    Bravo Museveni. You are quite right in this matter. One day the western leaders will demand that we bleach white our skin in order to get aid(s) from them! We must respect our culture. By the way, have we Africans ever forced them not to swim a father, mother and children, in one pool at the...
  9. M

    Star Times waache mchezo mchafu

    Nawashukuru Star Times kwa kujibu hoja yangu kuhusu ufanisi wa kisimbuzi chao ya tarehe 21 Februari 2014. Hii ni ishara ya uwajibikaji kwa umma. Kwa maelezo yao, channels za bure hazionekani vizuri kutokana na kukosa ushirikiano toka kwa wenye stesheni za TV husika yaani ITV, EATV, TBC, Star Tv...
  10. M

    Star times waache ubabaishaji

    Ahsante kwa majibu. Hii ni ishara nzuri ya uwajibikaji na huduma kwa umma. Suala la 'local channels' kuwa kwenye visimbuzi vyote bure ni la kisheria. Wanapokataa kutoa ushirikiano wanavunja sheria hivyo ni wahalifu. Wasilianeni na TCRA ili wawawajibishe na kuwalazimisha kufuata sheria. Waache...
  11. M

    Star times waache ubabaishaji

    Kwa muda sasa Star Times wanacheza mchezo mchafu. Stesheni za bure - yaani ITV, TBC, Star TV, EATV na Channel Ten zinaonekana vizuri kwa muda mfupi na kuanza kuganda picha au kusikia sauti tu.Wakati hizi za bure hazionekani, zile station nyingine za nje zinaonekana vizuri bila tatizo lolote. Ina...
  12. M

    CRDB kuchelewesha mishahara ya wateja

    Mimi ni mteja wa CRDB. Awali mshahara ulikuwa unaingia kati ya tarehe 28 na 30 ya kila mwezi. Kwa muda mrefu sasa mshahara unachelewa kuingia hadi tarehe 4 hadi 15 ya mwezi. Wakati huo wenzetu wanaopitishia NMB huwa wanapata tarehe 26-28 ya mwezi. Kuna nini? Naomba mrekebishe hali hii tusije...
  13. M

    CRDB ndo nini kufanyiana Weekend kuwa Mbaya?

    Ni kweli CRDB kuna tatizo. Kwa muda mrefu sasa sisi tunaopitishia mishahara yetu CRDB tunapata shida sana. Awali mishahara ilikuwa inaingia kati ya tarehe 28 hadi 30 ya kila mwezi. Siku hizi tunakaa hadi tarehe 8 hata 15 ya mwezi ili mshahara kuingia. Kuna nini? Tunawaza kuhamia NMB kwani wako...
Back
Top Bottom