Haaa mm nimepiga simu jana hiyo namba nikawaambia tatizi langu wakaniambia napata shida ya jupata channel kwa sababu nimeweka waya mweusi. startimes cna hamu nao.
Rimot yangu imekufa,kama zipo ni bei gani?habari yako Cathod Ray, tafadhari kama umelipia pia inatakiwa ubadilishe kifurushi, kunauwezekano ulikuwa unatumia kifurushi kikubwa na ulipofanya malipo ya 20000 hukubadilisha kifurushi na hivyo kuendelea kufurahia chanel za kifurushi kikubwa, hivyo pesa yako kuchajiwa kwa kifurushi husika
Sasa bwana star times, kwa nini usiset visimbuzi vyako ili mteja awe na chaguo muda wowote wa kifurushi anacho kitaka kulingana na bajeti yake na vipaumbele vya channel anazotaka kufuatilia? Hivi mtazania wa sasa anahitaji complication katika huduma? ushauri wangu kwenu acheni kiwango ambacho mteja analipia mashine yenyewe aoutomatical impe kifurushi kulingana na fedha alioilipa sio sasa ukiwa kili basi wewe ni kili tuu, ukiwa uhuru wewe ni uhuru tuuhabari yako Cathod Ray, tafadhari kama umelipia pia inatakiwa ubadilishe kifurushi, kunauwezekano ulikuwa unatumia kifurushi kikubwa na ulipofanya malipo ya 20000 hukubadilisha kifurushi na hivyo kuendelea kufurahia chanel za kifurushi kikubwa, hivyo pesa yako kuchajiwa kwa kifurushi husika
habari yako Mfereji, sio kweli kuwa tunafanya hivyo, tatizo kubwa la chanel za ndani ni matatizo toka 'SOURCE' ya chanel husika, kiukweli kunabaadhi ya chanel za ndani tumekosa ushirikiano wa kutosha toka kwa wamiliki wa vyombo husika na hivyo kutulazimu kutumia njia nyingine mbadala kuzipata ili kuhakikisha zinapatikana kwa watanzania. Tunajitahidi sana kufanya kila linalowezekana ili kupatikana chanel hizo. kwa chanel za nje nyingi tunapata ushirikiano toka kwa wamiliki na hivyo hata 'SOURCE' ya chanel hizo kupatikana kirahisi.
hata hivyo pamoja na hayo yote chanel hizi za ndani muda mwingi zinakuwa zinaonekana vizuri kabisa, na nimara chache tu huwazinasumbua. endapo antena yako itakuwa inapokea mawimbi hafifu basi kunauwezekano mkubwa ukasababisha tatizo hili na kwa kuwa chanel zote za ndani zinaingia kwa frequency moja basi zote zitasumbua kwa pamoja.
habari yako Mfereji, sio kweli kuwa tunafanya hivyo, tatizo kubwa la chanel za ndani ni matatizo toka 'SOURCE' ya chanel husika, kiukweli kunabaadhi ya chanel za ndani tumekosa ushirikiano wa kutosha toka kwa wamiliki wa vyombo husika na hivyo kutulazimu kutumia njia nyingine mbadala kuzipata ili kuhakikisha zinapatikana kwa watanzania. Tunajitahidi sana kufanya kila linalowezekana ili kupatikana chanel hizo. kwa chanel za nje nyingi tunapata ushirikiano toka kwa wamiliki na hivyo hata 'SOURCE' ya chanel hizo kupatikana kirahisi.
hata hivyo pamoja na hayo yote chanel hizi za ndani muda mwingi zinakuwa zinaonekana vizuri kabisa, na nimara chache tu huwazinasumbua. endapo antena yako itakuwa inapokea mawimbi hafifu basi kunauwezekano mkubwa ukasababisha tatizo hili na kwa kuwa chanel zote za ndani zinaingia kwa frequency moja basi zote zitasumbua kwa pamoja.
Haaa mm nimepiga simu jana hiyo namba nikawaambia tatizi langu wakaniambia napata shida ya jupata channel kwa sababu nimeweka waya mweusi. startimes cna hamu nao.
habari yako Cathod Ray, tafadhari kama umelipia pia inatakiwa ubadilishe kifurushi, kunauwezekano ulikuwa unatumia kifurushi kikubwa na ulipofanya malipo ya 20000 hukubadilisha kifurushi na hivyo kuendelea kufurahia chanel za kifurushi kikubwa, hivyo pesa yako kuchajiwa kwa kifurushi husika
Mimi cha kwangu kinajizima na kujiwasha mda wote siwezi hata ona kitu, nimepeleka ofisi kwao wananambia ninunue kingine
Rimot yangu imekufa,kama zipo ni bei gani?
Pole mkuu, hata hicho unaweza kukigeuza kuwa toy la kuchezea mtoto.
Mimi kisimbusi changu kilianza na kujipandisha na kushusha sauti chenyewe mpaka nikahisi labda nyumbani kwangu kuna wachawi. Wakati mwingine kinajibadili stesheni chenyewe nikakimwagia maji ya baraka wapiii...ikabidi nitafute cha Bakhresa - Azam tv